tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,434
...this should be stopped! sisi tulio na access na internet tulishazoea kuombwa na ndugu zetu wasio na access na internet tuwatazamie matokeo sasa huu ni uhuni mwingine wa mafisadi.
Watanzania wenzangu kama tutaendelea na ukondoo huu, hawa jamaa watatumaliza maana watakuwa wakifanya maamuzi ya kipumbavu kabisa kama haya!!! katika era hii ya IT, njia nzuri kabisa ya kimtandao ni kuweka majibu kwenye website pia then mtu atachagua mwenyewe ama apate matokeo kupitia SMS kwa mtandao wowote au kupitia internet.
This should be stopped....we should raise our voice to the end....we should say enough is enough.....kama ni kutafuta ku-refund pesa zao walizotumia kwenye uchaguzi should not be in expense ya watanzania maskini