MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu


Duuu, ndugu yangu rudi darasani ukafundishwe kuandika. Mbona umetuwekea utumbo huu!!
 
50-50 itafikiwa tu pale mashekh watakapoa acha siasa na kufuata muongozo wa dini yao na kuhimiza watoto kwenda shule na kuzingatia elimu, sio kucheza kiduku na taarabu

Nilipo bold umeharibu quality of the best post. Yaani kama ni keki umeiwekea icing ya kinyesi badala ya sugar
 

Kumbe ndio maana Div IV na Zero za kumwaga Tz, kwa uandishi huu napata picha wasahihishaji wa mitihani hawana kosa!
 

Mkuu bana hata kama unapost via mobile phone lakini hiyo imezidi bana. Edit mkuu.
 
hapo ndio wajue kumuomba Mungu bila jitihada binafsi ni bure. Wakati nasoma Seminari, motto ilikuwa (SAKAMA) Sala,Kazi Masomo. Ukibalance haya matatu utakuwa zaidi ya kumi bora.
 
shule za kata sio shule ila vituo vya kudhibiti population pressure kwa miaka minne nadhani wako mbioni kuja na sera ya kufuta au kupunguza makali mtihani wa kidato cha nne kama walivyofanya darasa la nne, kidato cha pili ambayo matunda yake ndo tunayona sasa, huu ndio ubora wa sera zetu za elimu z:A S 20:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…