mufti kashawaambia jana alipoongea huko geita waache kulalamika waende darasani

Watanzania tunapenda kujadili mambo yasiyo na tija na kuacha mambo ya msingi, ndio maana kila kitu tunahusisha na dini... this is stupidity indeed. mimi siwezi comment nonsense like this.. Sorry
Marks sio ishu mkubwa. Kama huamini 'unda' tume uchunguze vigezo vilivyotumika na TCU kuwapa wanafunzi chance za university mwaka huu...
Wakuu tuache kuleta hoja zisizokuwa na tija kwetu sote. Hili swala la mitihani ya form four has nothing to do with Islam or Christianity or paganism. Ni swala la vijana kuweka bidii. Sasa tunafika mahala haya maswali ya dini yanaanza kubore sasa..na anayeyaongelea anaonekana kichwa cha mwendawazimu.......Nani aliwaambia kwamba kuna affirmative actions kwenye mitihani? Swala ni kuweka bidii tuu. Wazazi na watoto washirikiane katika kuongeza ufanisi wa watoto mashuleni. Tuache hizi cheap politics za dini. Huwezi kuwa daktari kama hujafaulu mtihani wa udaktari..hata kama ungepewa nafasi ya bure kwenda Muhimbili. Utafeli tuu. Tusaidiane vijana wetu wasome.
Katika tamko la waislam walidai 50-50, kwa matokeo haya ya f4, katika 10 bora hakuna hata mwislamu mmoja, itawezekana?
Kwa jinsi mambo yanavyoenda kuna uwezekano mkubwa kukatokea maandamano kwa waliofeli maana ndg zetu wa Pasu kwa pasu wameshaibuka na hoja za kuwa watu flani wanapendelewa, zaidi ya hapo mwanasiasa Mbatia wa NCCR-Mageuzi akadai usahihishaji urudiwe! sasa kuna hili la leo Tanzania Association of Managers nad Owners of Non -Government Schools and Colleges nao wanadai matokeo yafutwe na mtihani urudiwe (MICHUZI: chama cha shule na vyuo binafsi chataka matokeo ya mtihani wa fom foo yafutwe, usahihiswhe upya)! Hii kali...yaani hawa nao ni nani? wanatambulika kisheria? hawa si ndo wale wenye shule uchwara wanaziita academy aka international schools nyingine hata hazijasajiliwa? leo hii wana sauti kama nani? scholars au nani? Hii political mobilization ya watu kwenye mambo yasiyo na tija kwa ustawi wa taifa namna hii unatoka wapi? Hivi tunajua neno "standards"? Kwa jinsi ninavyoona kuna uwezekano wa matokeo ya mwaka kesho yakachakachuliwa ili kuridhisha umati maana siasa sasa inaingizwa kila mahali!
Hivi utaratibu wa kurudia mtihani ukifeli kama private candidate, umeondolewa nini?
Kweli tuna umbwe la uongozi! Tutaona mengi mpaka 2015!
umenikumbusha rafikiyangu anafamiraya yamtoto 1 umuli mk4 kamamzazi alimuonyamtoto asilechakura kwawatu sikumojaalikosananamke akazirakurachakurakwawikinzima mtoto alimuhoji babayake ulishanikatazakulakwawatu weweunakulakwawatu wikinzima unaniluhusunamiminilagee? niwajibuwakira tz kuhoji mamboyanayoendatofauti nahi inatokanana watu kupotezaimni na silikali viongoziwetu wamepoteza maadili yauongozi ruswa ufisadi ndo na 1 siwatofautishi na rafikiyangu
Kajifunze kuandika Kamanda!umenikumbusha rafikiyangu anafamiraya yamtoto 1 umuli mk4 kamamzazi alimuonyamtoto asilechakura kwawatu sikumojaalikosananamke akazirakurachakurakwawikinzima mtoto alimuhoji babayake ulishanikatazakulakwawatu weweunakulakwawatu wikinzima unaniluhusunamiminilagee? niwajibuwakira tz kuhoji mamboyanayoendatofauti nahi inatokanana watu kupotezaimni na silikali viongoziwetu wamepoteza maadili yauongozi ruswa ufisadi ndo na 1 siwatofautishi na rafikiyangu
Kajifunze kuandika Kamanda!
Ana sound zaidi kama wa pande za Itigi... Kule SingidaHuyo lazima anatokea chubwi huko Zenj!
umenikumbusha rafikiyangu anafamiraya yamtoto 1 umuli mk4 kamamzazi alimuonyamtoto asilechakura kwawatu sikumojaalikosananamke akazirakurachakurakwawikinzima mtoto alimuhoji babayake ulishanikatazakulakwawatu weweunakulakwawatu wikinzima unaniluhusunamiminilagee? niwajibuwakira tz kuhoji mamboyanayoendatofauti nahi inatokanana watu kupotezaimni na silikali viongoziwetu wamepoteza maadili yauongozi ruswa ufisadi ndo na 1 siwatofautishi na rafikiyangu
umenikumbusha rafikiyangu anafamiraya yamtoto 1 umuli mk4 kamamzazi alimuonyamtoto asilechakura kwawatu sikumojaalikosananamke akazirakurachakurakwawikinzima mtoto alimuhoji babayake ulishanikatazakulakwawatu weweunakulakwawatu wikinzima unaniluhusunamiminilagee? niwajibuwakira tz kuhoji mamboyanayoendatofauti nahi inatokanana watu kupotezaimni na silikali viongoziwetu wamepoteza maadili yauongozi ruswa ufisadi ndo na 1 siwatofautishi na rafikiyangu
umenikumbusha rafikiyangu anafamiraya yamtoto 1 umuli mk4 kamamzazi alimuonyamtoto asilechakura kwawatu sikumojaalikosananamke akazirakurachakurakwawikinzima mtoto alimuhoji babayake ulishanikatazakulakwawatu weweunakulakwawatu wikinzima unaniluhusunamiminilagee? niwajibuwakira tz kuhoji mamboyanayoendatofauti nahi inatokanana watu kupotezaimni na silikali viongoziwetu wamepoteza maadili yauongozi ruswa ufisadi ndo na 1 siwatofautishi na rafikiyangu
wakuu mmeama mada gafla.