Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,321
utafiti niliofanya kwa Ifm Iianonekana wengi from zenj(kwa asilimia), hata mwanafunzi bora Ifm 2007, 2008 walikuwa wazenj yaani first class na sio seminary. na hakutokea alieapta first class chuoni hapo kama sio hao vilaza wa zenj
nimekwambia tutor na tutorial assistants . Alaf mbona kama IQ inaleta utata,kwani kufundisha ifm mpaka uwe umesoma ifm? Pili kwani kutokea zenj mpaka uwe kama muhogo mchungu tatu,nitajie kwa majina walimu wapya tangu 2007 mpaka 2010. Tuangalie kama hamna waseminari,we vp? Alaf kama mwaka huo unaougang'ania hapakuwa na enrollment yoyote ya mseminari unataka ashindanishwe hata kama hayupo enrolled? Mi nimekupa range 2007-2010. Alaf katikati hapo ueleze bogus aliyepatikana kutoka kwenye taasisi unazozituhumu. Tulia mkuu tuendelee kujadili na mwisho tutaelewana!