MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

Seminarini,mnafundishwa kikwelikweli,mwalimu afikirii mshaara wake utalipwa lini,mwanafunzi afikirii,kama atakula nini au maji ya kuoga yatapatikana wapi.Kila mwanafunzi ana vitabu vyoote vinavyotakiwa kwa mujibu wa syllabus,na mazingira ni mazuri,Seminarini akuna kwenda club au kuruka ukuta kwenda Bar.
Seminarini mnafundishwa ofu ya kumwogopa Mungu na kutii mamlaka,
Iliwai tokea Maua Seminary Moshi Miaka ya 80 mwishoni Kijana mmoja alipata A katika masomo karibuni yote,NECTA awakuamini wakamtungia yule kijana Mitihani yote mipya wakamsimamia wao wenyewe apo Dar.. Yule dogo akaongeza A nyingine kutoka katika hiyo mitihani aliotungiwa.Huu sio uzushi kwani ata mimi nimesoma Seminary.Seminary yetu Mwalimu wa Form One term ya kwanza nzima alikuwa bize kutafuta wanaotazamia wenzao wakati wa Test.Ilikuwa ni kwamba Ukikamatwa tu akuna lingine unafukuzwa shule apo apo!sisi tuliingia 35 form one lakini Form 4 tulimaliza 28.
Seminarini akuna longolongo.
Ata hizi shule kama Mirian au st Francis sio mchezo wanafunzi awachezi Kiduku,wanapiga kitabu

we chipukizi utakuwa umesoma Rubya Seminary. Nakumbuka darasa la 6 rutabo seminary tulikuwa45, form one tukabaki35 na form 4 tukabaki28. Mkuu kama kweli niPM tupige story kidogo. Nakumbuka enzi zetu kabla ya kuanza kwenye mtihani nusu saa kabla mko mmekaa tayari,wasimamizi wanagawa pepa,na kusubiri kuufunga peke yao. Nasema peke yao sababu wanafunzi walikuwa wanamaliza mtihani na kutoka nje lisaa au nusu saa kabla ya muda kuisha,kama wanafanya test vile! Maswali lainiii alaf mnasubiri one. Muogo mchungu anajidanganya tu! Wale wale waseminari ndo ma lecturer na tutorial assistants SAUT, UDSM ,IFM ,USTAWI nk. Wengine ni Auditors kpmg,e&y,pwc n.k wakikwepa hapo wanakuwa wanasheria mashuhuri na ma engineers! Yan seminary noma,cheza mbali moto wake unajulikana.
 
Binafsi namsifu sana Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani wa sasa, Dr Ndalichako. Amepunguza sana uvujaji na wizi wa mitihani. Kazi bado ngumu lakini mafanikio yameanza kuonekana kwa wanafunzi kupata matokeo halisi ya walichokifanya. Tulifika mahala wazazi wajinga kwa kushirikiana na baadhi ya wamiliki wa shule kuchangishana ili kununua mitihani hii kwa ajili watoto wao.
Tumuunge mkono Mama Ndalichako kwenye mapambano haya. Tulishafika kubaya kama tulivyo kwenye ufisadi sasa.

Na ndio maana mwaka huu wamefeli wengi ujanja ujanja umepungua
 
  • Jee kuna ulazima wa mwanafunzi anaemaliza seminary na kupata div1 na hukua kwa mwanfunzi bora wa mwaka kati ya wanafunzi waliofanya exam tz kujiunga na vyuo vya kata yaani Udsm, Ifm, Mzumbe, Muhimbili hasa wale wanaopenda uandishi wa habari. political science , engineer na vyengine. jee si kuna vyuo vikuu vya seminary kama vile morogoro muslim, St joseph , st augustino na vyengine. jee huko ni wababaishaji?
 
we chipukizi utakuwa umesoma Rubya Seminary. Nakumbuka darasa la 6 rutabo seminary tulikuwa45, form one tukabaki35 na form 4 tukabaki28. Mkuu kama kweli niPM tupige story kidogo. Nakumbuka enzi zetu kabla ya kuanza kwenye mtihani nusu saa kabla mko mmekaa tayari,wasimamizi wanagawa pepa,na kusubiri kuufunga peke yao. Nasema peke yao sababu wanafunzi walikuwa wanamaliza mtihani na kutoka nje lisaa au nusu saa kabla ya muda kuisha,kama wanafanya test vile! Maswali lainiii alaf mnasubiri one. Muogo mchungu anajidanganya tu! Wale wale waseminari ndo ma lecturer na tutorial assistants SAUT, UDSM ,IFM ,USTAWI nk. Wengine ni Auditors kpmg,e&y,pwc n.k wakikwepa hapo wanakuwa wanasheria mashuhuri na ma engineers! Yan seminary noma,cheza mbali moto wake unajulikana.

Kuna seminary kama Visiga ukipelekwa kule lazima unyooke na uwe na adabu na mnasoma hasa hakuna mchezo ukileta mchezo lazima urudi kwenu at the end of the day mtu hauwezi kuishia kupata DIV 4.
 
Seminarini,mnafundishwa kikwelikweli,mwalimu afikirii mshaara wake utalipwa lini,mwanafunzi afikirii,kama atakula nini au maji ya kuoga yatapatikana wapi.Kila mwanafunzi ana vitabu vyoote vinavyotakiwa kwa mujibu wa syllabus,na mazingira ni mazuri,Seminarini akuna kwenda club au kuruka ukuta kwenda Bar.
Seminarini mnafundishwa ofu ya kumwogopa Mungu na kutii mamlaka,
Iliwai tokea Maua Seminary Moshi Miaka ya 80 mwishoni Kijana mmoja alipata A katika masomo karibuni yote,NECTA awakuamini wakamtungia yule kijana Mitihani yote mipya wakamsimamia wao wenyewe apo Dar.. Yule dogo akaongeza A nyingine kutoka katika hiyo mitihani aliotungiwa.Huu sio uzushi kwani ata mimi nimesoma Seminary.Seminary yetu Mwalimu wa Form One term ya kwanza nzima alikuwa bize kutafuta wanaotazamia wenzao wakati wa Test.Ilikuwa ni kwamba Ukikamatwa tu akuna lingine unafukuzwa shule apo apo!sisi tuliingia 35 form one lakini Form 4 tulimaliza 28.
Seminarini akuna longolongo.
Ata hizi shule kama Mirian au st Francis sio mchezo wanafunzi awachezi Kiduku,wanapiga kitabu

Hapo mlijitahidi saa zingine mnamaliza mkiwa 10
 
mwaka 2008, Shule moja inayoitwa High view sec school inayomikiwa na mmoja ya mfanya biashar mkubwa visiwani Zanzibar iliongoza Zanzibar kwa kufanya vizuri yaani ilitoa div 1 zaidi ya 15, div 2 za kumwaga kati ya watoto wsiozidi 50. hii ni mara ya kwanza kwa shule hiyo kutoa idadi kubwa wanafunzi. nadhani hata Baraza la Mitihani la Taifa Necta ilishtuka, iljihoji na ilitaka kujua haya ni matokeo ya Kweli?
Mwaka uliofuta NECTA ilituma ujumbe mzito katika shule hiyo, kwa maneno ya vijana iliwabana vijana sana vijana shule hiyo kwa kuweka Ulinzi mkali kwa usimamizi, ufanyaji wa mitihani, baadhi ya wajumbe kutoka NECTA Makao makuu Walishiriki kikamilifu kusimamia exam shuleni hapo. nasema walishiriki kusimamia, kuchunguza na kuzuia kila aina ya Ujanja, walifikia hata kuwasachi kabla ya exam. matokeo yake wanafunzi waliofanya Exam matukio yao sio mazuri.(naamini hata NECTA kwa hili hawatakanusha).
lKN sijui kama NECTA hufanya mkakati kama huu ktk shule ambazo huwa zinaongoza hasa za seminary? sijui kama wanshtuka kama walivyoshtuka High view? sijui hutumia mkakati kama walivyotumia huko Zenj?

LKN cha kujiuliza jee hawa ndio wanaopta first class Vyuo vikuu? au ndio bogas

NECTA wamefuatilia mara nyingi tu pamoja na UWT katika shule zinazofanya vizuri. Kweli baadhi zimewahi kuwa zinafanya vizuri zikaonekana bogus. Mnayo mifano michache kama St Mary Dsm, lakini ukweli shule nyingi za seminary especially za masista zinafanya ukweli kabisa. Nadhani siri yao kubwa ni ile spirit ya monarchy ya kujitoa kuishi maisha ya utawa. Wao hujitoa kumtumikia Mungu tangu utoto - chini ya darasa la saba. Halafu wanakuwa selected wenye uwezo mzuri wanasomieshwa na kupewa kozi mbali mbali za professions. Kwa vile chochote wanachopata kinakuja katika convent zao ni kama hawana mishahara directly. Hivyo inapotokea shule ikaanzishwa na masista hawana taabu ya walimu. Wana select walimu wazuri toka popote Tz walio katika ile order iliyoanzisha shule kisha wanatumika kama sehemu ya utumishi wa kiapo chao bila kudai malipo ya zaidi. Na hata ile salary wanayopata hapo inaingia katika convent yao, sista anapewa kidogo tu, maana kila kitu chakula, mavazi, na mahitaji yote anapewa pamoja na masissta wengine katika convent. Kwa njia hiyo kufaulisha kinabaki kuwa ndio kipimo cha utumishi wake kwa Mungu. Unaona kumtumikia Mungu kwa njia ya imani inaweza kuwa faida kubwa sana ikitumiwa vizuri. Mfano ile spirit ya kujitoa kwa dini hadi kuwa tayari kufa kwa kujilipia kama ingegeuziwa kuwa dedication kwa mfano wa kufundisha na kufaulisha bila kujali personal benefit basi alcaida wangeongoza kwa kufaulisha maana huko ni kujitoa kwa kiwango cha juu kabisa. Mi nawapongeza masista kwa kuelekeza dedication on the right cause. Ingawa kwa kweli zipo baadhi ya shule private wanaoibia. Utawajua watoto wakienda high school wanakuwa mazuzu ingawa o level walitoka na pasi nzuri.
 
mleta hoja naona kama bado amezungukwa na imani au ametawaliwa na udini,badala ya kuangalia kiini cha tatizo, yeye anaongelea seminary!haya wee baki kama ulivyo lkn ukweli utabaki pale pale seminary watoto wanafundishwa,
 
Si kule kwenye viwanja vya Biblia!.
Hata kwenye wizara pia inayoongozwa na watu wa seminary ni ufisadi mtupu!.

Tunajua madrasa imekuharibu, ila jaribu kutumia akili ya kuzaliwa(Achana na madrasa) Nchi sasa hivi viongozi wengi si wa kristu, viongozi watatu wakubwa wa juu si wakristu, ufisadi umefikkia kiwango cha kutisha, hili nafikiri halihitaji shule kuliona.
 
Kuna jirani yetu miaka ya 90, alikwenda Itaga seminary Tabora, yaani kutokana na Uwezo wake kuwa mdogo aliishia term ya kwanza tu form one.
 
Tunajua madrasa imekuharibu, ila jaribu kutumia akili ya kuzaliwa(Achana na madrasa) Nchi sasa hivi viongozi wengi si wa kristu, viongozi watatu wakubwa wa juu si wakristu, ufisadi umefikkia kiwango cha kutisha, hili nafikiri halihitaji shule kuliona.

lakini mbona hawa wanomaliza hawandi vyuo vya sminary?
 
jee wanapoingia vyuoni mbona bogas?

muhogomchungu ebu toa mfano walio bogas na mimi ntoe mifano ma brilliant ninaowajua. Usijidanganye na kujifariji. Nakupa tu mfano ili roho yako ikuume ipasavyo wala si kwa hisia. Nenda udsm uchunguze wahadhiri na wasaidizi wa wasaidhiri %kubwa ni akina nani? Kuwa mhadhiri au Tutor sharti ni first class au good upperSecond not below 3.8 GPA. Nenda IFM,MZUMBE ,SAUT na CBE kisha utuletee jibu kama hautapata kigugumizi. Isiwe kazi kubwa ebu nenda tu UDSM na IFM ulete jibu walimu wapya Tutorial na Assistant Lecturers walioajiriwa 2007-2011 asilimia kubwa wametoka wapi. Na kama ikiwa 70%si waseminary mi naomba MOD wanipe ban ya miezi3,au chagua adhabu ya kunipa. Chunguza,Seminary za kweli hazizalishi vilaza. Ivi unajua maana ya 'seminary' dictionary iko wazi. Usije ukatujuza kuwa seminary wako mabogas alaf ukatoa mfano wa 'an noor Islamic Boys Seminary' kweli huku wapo maana nimeona walivochemka mwaka huu form4. Kaanze assignment sasa!
 
utafiti niliofanya kwa Ifm Iianonekana wengi from zenj(kwa asilimia), hata mwanafunzi bora Ifm 2007, 2008 walikuwa wazenj yaani first class na sio seminary. na hakutokea alieapta first class chuoni hapo kama sio hao vilaza wa zenj
 
What is your opinion? Bahati mbaya hivyo vyuo vikuu vya seminary unavyovisema hapo juu ndio vinachukua wale lower performers wa f4 au f6, lol tafakari! Halafu wale top performers wa f4 na f6 ndo wachagua kwenda hivyo unavyoita vya kata!
 
kwanini wasijunge na vyuo vya seminary? kuapta elimu bora? wankimbilia udsm, ifmna mzumbe yaani vyuo vya kata
 
Kuna seminary kama Visiga ukipelekwa kule lazima unyooke na uwe na adabu na mnasoma hasa hakuna mchezo ukileta mchezo lazima urudi kwenu at the end of the day mtu hauwezi kuishia kupata DIV 4.

yan hata muda wa kusoma huwa Seminary ni mdogo sana. Mfano rubya seminary asubui mnaamkia kanisani,sa1-sa7 darasani, sa8-9 private ,sa9-10 kazi za mikono,sa10-11.45 michezo, sa11-12jion kuoga,sa12-2usiku kanisani,sa2.10-3usiku dinner,sa3-4 usiku prep. Baada ya 4 usiku Uruhusiwi kuongea,yap namaanisha Kuongea,inaitwa 'SILENSIUM MAGNUM'kilatini,manake "great silence" mpaka sa12 asubuhi. Pia taa zote za umeme zinazimwa sa4 usiku na hakuna kusoma unatakiwa uwe ndani ya blanketi,seminary inaitwa "unapaswa uwe 180 degree" yan umenyoka ndani ya blanketi. Alaf slogan inasema "NO DEMOCRACY IN THE SEMINARY" Da maisha ya seminary RAHA SANA,hata jeshi hamna sheria kama kule. Ratiba niliyoweka hapo juu yan ukivuruga hata kipengele kimoja,umefukuzwa shule,alaf kule wanakusome"ultimaltum" yani unapewa masaa uwe umepotea. Waache wanaobeza wabeze tu!
 
kwanini wasijunge na vyuo vya seminary? kuapta elimu bora? wankimbilia udsm, ifmna mzumbe yaani vyuo vya kata
unasumbuliwa sana na udini kuviita udsm,ifm mzumbe, sua vyuo vya kata.Hivi ni vyuo vya great thinkers backed by div 1 and 2 WANASEMINARI.VIPI HUKO TINISIA, MISRI,ALGERIA waislam wanadai nani kawanyanyasa?
 
Back
Top Bottom