Last sentinel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 267
- 108
Hellw jf,matokeo yetu chuo cha IAA hayatumwi nacte ili tupate AVN.Tumefuatlia lakn tunajibiwa kwa ukali sana,asilimia nyingi yametumwa mwisho ya technician certificate lakin bado pending na tunatak kuomba mkopo.Admission officer ni mkali na hatoi ushirikiano