Verification ya matokeo nacte

Michu99

Member
Jul 3, 2021
17
7
Habari za kazi wakuu nilikua nauliza kuwa hivi uchukua muda gani nacte kuverify matokeo kwa diploma manake sisi wengine matokeo yetu ndo yametumwa Jana nacte na AVN bado atujapata tunataka tuapply chuo muda umeisha
Msaada kwa anaejua nini kinafanyika
 
kuverify hayo matokeo, mwezi wa sita au saba hivi. But no vyema ukaenda NACTE usaidiwe ukisubir hii ya kufata utaratibu unaweza usifanikiwe kwa kipindi hiki.
Shukrani sana mkuu ngoja nifany ivyo kwahy nikienda nacte naweza kikapata AVN mkuu
 
Shukrani sana mkuu ngoja nifany ivyo kwahy nikienda nacte naweza kikapata AVN mkuu
ndiyo unawaeleza shida yako kwa hisia kali sana mpaka waelewe, usiwe mwepesi wa kukubali majibu yao tu.
 
Back
Top Bottom