BakalemwaTz
Senior Member
- Jul 14, 2017
- 119
- 119
Yakitoka vibaya huwa yanaathiri mshahara wako kwa namna yoyote ile?Mbona hawaleti majibu bana ujue walimu ndo tunaoyaugulia hayo matokeo kuliko watahiniwa wenyewe
Au safari hii watatoa matokeo na post kabisa ndo maana wamechelewa ngoja tusubiri kwanza tuoneMwezi wa Novemba ndo umeisha. NECTA wanatoa lini matokeo ili tujiandae?
Msonde kaondolewa pale Necta. Aliyepelekwa HATOSHIAu safari hii watatoa matokeo na post kabisa ndo maana wamechelewa ngoja tusubiri kwanza tuone
Sio kwel. The reason ni kuondoka kwa dr msonde na kuingizwa kwa YAKHEMwaka Jana mtihani ulifanyika September Mwaka huu mtihani umefanyika October sababu ya sensa hiyo ndo sababu ya kuchelewa.