Bubu Msemaovyo
Platinum Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,552
Nashindwa kuamini hivi kwanini Wababa nyota yake ilizimika ghafla dakika kadhaa kabla ya kuitwa mshindi? Nashawishika kuamini kwamba wimbo wake wa "...................kubaka mtoto na ule wa Seya" vilimfilisi ghafla. Ninahisi kuna mkono wa Serikali. N A W A S I L I S H A.