Elections 2010 Matokeo ya awali toka Mkoa wa Mwanza

moyo wanienda mbio hivi, na mimi siyo JK sasa jamani mwenzetu huyu atakuwa na hali gani saa hizi akianza kusikia mambo ndo hayo, wow ! ngoja nisubiri. Thank you guys for taarifa hizi.
 
[QUOTE said:
The Invincible;1195979]Itafutwe namna nzuri zaidi ya ku-post haya matokeo. Namna nyingine itakuwa mafuriko ya mabandiko na mvurugano.

Nakuunga mkono.MD p/se fanya mambo.Nashauri matokeo yawe posted kimkoa/kikanda kila mkoa na folder yake.
 
It could be good to use thanks... badala ya kuandika sana... Matokeo hayo ndiyo yanayonyesha kwamba kambi za CHADEMA ugawanaji wa kura utakuwa hivyo lakini kwenye kambi za CCM, wenzao wataenda mbali sana... lets wait and see! My final post on this... i will use thanks.
 
mwanzo mzuri ktk jimbo la kawe osterbay ndio tunawawasi nayo katika maeneo yote kwa maana huku ndiko vigogo wa ccm wanakoishi kwahiyo inaelekea tutafanya vizuri sana maana tulikuwa hatutegemei kufanya vizuri maeneo ya oysterbay.
 
Mwizi anaefukuzwa kimya kimya mwisho wake ni kifo..kwa hiyo hawajamaa wala hatuwapigii kilele..ni kwenda nao mdogo mdogo hivi hivi...siku ya mwisho sijui ndo wataanguka kwenye majukwaa kama walivyozoea! Kazi ni moja tuu...Dr wa ukweli Ikulu ni yako babaaaa!
 
counting result for president ccm matokeo ya rais

sumve sekondari a1:

ccm - 16
chadema - 15
cuf - 1

sumve sekondari a2:

ccm - 16
chadema - 19
cuf - 0

sumve hospital:

ccm - 42
chadema - 49
cuf - 6
appt - 1

ukerewe halmashauri

ccm - 74
chadema - 97
cuf - 2
appt - 2
tlp - 1
nccr - 1
updp - 0

nyamagana (muhandu):

ccm - 72
chadema - 66
cuf - 2
kawe oysterbay
rais
ccm 67
cuf 6
chadema 6i

chadema--307
ccm--------287
 
MODS/INVISIBLE==> Propose limit adding texts, rather alow update of results only on sheet; this will prevent magazeti for small things
 
Back
Top Bottom