Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Nilimshauri hakusikiliza!. Pia nitamshauri aachane na ndoto za urais 2015, Chadema inachukua nchi!.
Mnafiki !
Nilimshauri hakusikiliza!. Pia nitamshauri aachane na ndoto za urais 2015, Chadema inachukua nchi!.
Hongera km kwel ulimshaur lkn hakukuskia.Ila atajafka mahal akuskie tu kwa kuona vitendo vya wananch wenyewe kumtapika km walivyomtapika Mkwewe!Nilimshauri hakusikiliza!. Pia nitamshauri aachane na ndoto za urais 2015, Chadema inachukua nchi!.
Anguko la CCM Arumeru Mashariki na Mgombea wake Sioi Sumari aka Mkwe wa EL ni teke la mwisho la fisadi Edward N. Lowassa. Kwasasa sioni muujiza wowote wa kumnusuri EL hasa baa ya kulazimisha kupanda jukwaani kumuombea mkwewe kura! Pesa alizotumia kushinikiza na kununua ushindi, HAKIKA IMEDHIHIRISHA PESA SI KILA KITU.....
Hapana; hii ni salamu kwa CCM nzima. Hata hao wengine wameshindwa vibaya sana huko Kirumba, Kiwira na Songea. Msiwape moyo.
Wewe ni nani?Nilimshauri hakusikiliza!. Pia nitamshauri aachane na ndoto za urais 2015, Chadema inachukua nchi!.
MUNGU ni zaidi ya pesa..ukuta wa Jeriko zama za taifa la MUNGU Israel uliangushwa kwa kuimba na kuuzunguka mara saba siku ya saba.Natamani kutoa machozi wakuu,MUNGU tunakushukuru kwa kuwa upande wetu.Mashetani hawa CCM wameshindwa kwa uwezo wako.Thanx God!! Okoa Taifa hili.
Hapana; hii ni salamu kwa CCM nzima. Hata hao wengine wameshindwa vibaya sana huko Kirumba, Kiwira na Songea. Msiwape moyo.
Nimeona siredi moja humu kwamba Chief fisadi anatafakari uwezekano wa kutimkia CDM. Kama ni kweli na kama CDM wakimkubali Lowasa (fisadi mkuu) ndiyo utakuwa mwisho wao katika siasa za Tz kabisaa. Mimi binafsi nitaikabidhi kadi yangu ya CDM chama chochote hata kama ni PPT Maendeleo.