Matokeo makubwa kwa wakulima wa nyanya Tanzania

man dizy

Member
Oct 6, 2019
11
12
UBORA WA MBEGU YAKO NDIO UNAAMUA UBORA WA MAVUNO YAKO

MBEGU YA TO 135 F1
Sifa Kuu
1. Ina matunda Makubwa na Magumu.
2. Inazaa Sana....Hadi kg 10 kwa mmea mmoja ikitunzwa vizuri
3. Inastahimili ugonjwa wa mnyauko wa Bacteria (Bacterial Wilt resistance)
4. Inastahimili ungojwa wa virus usababishwao na inzi weupe....pia hujulikana Kama Rasta au Kitaalamu unaitwa Tomato Yellow Leaf Curl Virus-TYLCV
5. Inastahimili ugonjwa wa mnyauko mcheleo, Late Blight

Na Bei yake ni Nafuu Sana. Kwa Mkulima gramu 10 ni TZS 60,000. Ekari moja inatakiwa Gram 50. Kwa order wasiliana na Bwanashamba Selerine 0765359880

Hii nyanya ikitunza vizuri kwa hekari moja unapata mpaka tenga 800+

Space mche na mche sentiment 45 na line na line sentimita 100

Kusia kwenye kitalu siku 21 inakuwa tayari kuhamishia shambani na baada ya hapo siku 60-65 unaanza kuvuna

Inatoa michumo 10+

IMG-20191218-WA0019.jpeg
IMG-20191203-WA0026.jpeg
IMG-20191203-WA0023.jpeg
IMG-20191216-WA0001.jpeg
IMG-20191124-WA0005.jpeg
IMG-20191218-WA0020.jpeg
IMG_20191116_113823.jpeg
IMG-20191203-WA0011.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaenda juu kiasi urefu gani?

Pruning inafanywaje;
- ni muhimu kupunguza majani, kwa Nini?
- natakiwa kutoa maotea?
 
Inaenda juu kiasi urefu gani?

Pruning inafanywaje;
- ni muhimu kupunguza majani, kwa Nini?
- natakiwa kutoa maotea?
Hii mbegu ni semi determinant,, inafika mpaka 2.5m
Hii pruning tunaita kupogole
Kupogolea ni kazi ya kuondoa vijitawi vya pembeni mwa
shina kuu la mmea kwa zile nyanya ambazo zinaendelea
kukua (za kuchomekea). Kupogolea kuna manufaa mengi
ikiwa ni pamoja na kupata matunda yenye afya na makubwa,
kupunguza kwa kiasi kikubwa kwa magonjwa na wadudu na
pia kupunguza upotevu mkubwa wa unyevunyevu ardhini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapendekeza matumizi ya brand gani na kiasi gani (ratiba) ya vitu vifuavyo ili kupata matokeo bora.

- pesticides
- fungicide
- +
 
Dawa za kuzuia wadudu zinazotumika.... Zina madhara gani kwa sisi watumiaji?? Interval ya kupuliza dawa na kuvuna ikoje??
 
Epinav Agricultural Solutions ni kampuni inayojihusisha na maswala ya kilimo
Tumeleta mbegu mpya ya nyanya yenye sifa tajwa hapo kwa maelekezo zaid tafadhali piga namba hiyo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UBORA WA MBEGU YAKO NDIO UNAAMUA UBORA WA MAVUNO YAKO

MBEGU YA TO 135 F1
Sifa Kuu
1. Ina matunda Makubwa na Magumu.
2. Inazaa Sana....Hadi kg 10 kwa mmea mmoja ikitunzwa vizuri
3. Inastahimili ugonjwa wa mnyauko wa Bacteria (Bacterial Wilt resistance)
4. Inastahimili ungojwa wa virus usababishwao na inzi weupe....pia hujulikana Kama Rasta au Kitaalamu unaitwa Tomato Yellow Leaf Curl Virus-TYLCV
5. Inastahimili ugonjwa wa mnyauko mcheleo, Late Blight

Na Bei yake ni Nafuu Sana. Kwa Mkulima gramu 10 ni TZS 60,000. Ekari moja inatakiwa Gram 50. Kwa order wasiliana na Bwanashamba Selerine 0765359880

Hii nyanya ikitunza vizuri kwa hekari moja unapata mpaka tenga 800+

Space mche na mche sentiment 45 na line na line sentimita 100

Kusia kwenye kitalu siku 21 inakuwa tayari kuhamishia shambani na baada ya hapo siku 60-65 unaanza kuvuna

Inatoa michumo 10+

View attachment 1312850View attachment 1312851View attachment 1312852View attachment 1312853View attachment 1312854View attachment 1312855View attachment 1312856View attachment 1312859

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie ni wapuuzi yaani gram 10 elfu sitini mnalenga kumsaidia mkulima au kumdidimiza mnatafuta utajiri kiharamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hybrid ndiyo iuzwe bei kubwa hivyo..? Na ukawaida wa bei uko wapi, hivi ata jamii mnayolenga kuisaidia hamjui mahitaji yake na nguvu yao ya kiuchumi....?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaolima nyanya wenyewe wanafahamu aina na gharama za mbegu. Kwa mbegu za F1 hiyo Bei ni ya kawaida kabisa.
Asiye na uwezo atanunua mbegu za kawaida. Kila kitu kina changamoto zake...
Mbegu Bei rahisi haivumilii magonjwa na haizai Sana.
Mbegu Bei ghari inavumilia magonjwa na inazaa Sana.
Kupanga ni kuchangua

Kweli kabisa mkuu,, wengi hawajui hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hybrid ndiyo iuzwe bei kubwa hivyo..? Na ukawaida wa bei uko wapi, hivi ata jamii mnayolenga kuisaidia hamjui mahitaji yake na nguvu yao ya kiuchumi....?

Sent using Jamii Forums mobile app
mpunguzie matusi, kubali au ukatae lkn wakulima tunajua mtoa mada anachokisema.

bei hiyo ni bei rahisi. jumla ya gm 50=300,000/=. ni nafuu kwa bei ya Asila gm 50= 560,000 hadi 800,000. huku mikoani inatufikia hadi 900,000 au 1,000,000/= maana hadi uwe na connection ya hatari. nyingi zinavuka mipaka toka kenya.

kwaio bwana Bigmind kama umezoea kuiona nyanya kwenye kisado, ndoo au tenga usidhani ni ziezi rahisi kuiondoa kwenye kopp hadi kuifikisha ngazi ya tunda.

jenga tabia ya 'usichokijua uulize' itakusaidia mbeleni

Ndugu, si kwamba sijui umelalama badala ya kutoa justification ya hiyo bei. Kuwa hybrid haiwezi kuwa ndiyo sababu ya price exaggeration. Lazima vitu viendane na uhalisia wa wakulima wetu nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UBORA WA MBEGU YAKO NDIO UNAAMUA UBORA WA MAVUNO YAKO

MBEGU YA TO 135 F1
Sifa Kuu
1. Ina matunda Makubwa na Magumu.
2. Inazaa Sana....Hadi kg 10 kwa mmea mmoja ikitunzwa vizuri
3. Inastahimili ugonjwa wa mnyauko wa Bacteria (Bacterial Wilt resistance)
4. Inastahimili ungojwa wa virus usababishwao na inzi weupe....pia hujulikana Kama Rasta au Kitaalamu unaitwa Tomato Yellow Leaf Curl Virus-TYLCV
5. Inastahimili ugonjwa wa mnyauko mcheleo, Late Blight

Na Bei yake ni Nafuu Sana. Kwa Mkulima gramu 10 ni TZS 60,000. Ekari moja inatakiwa Gram 50. Kwa order wasiliana na Bwanashamba Selerine 0765359880

Hii nyanya ikitunza vizuri kwa hekari moja unapata mpaka tenga 800+

Space mche na mche sentiment 45 na line na line sentimita 100

Kusia kwenye kitalu siku 21 inakuwa tayari kuhamishia shambani na baada ya hapo siku 60-65 unaanza kuvuna

Inatoa michumo 10+

View attachment 1312850View attachment 1312851View attachment 1312852View attachment 1312853View attachment 1312854View attachment 1312855View attachment 1312856View attachment 1312859

Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kufanya kilimo cha nyanya kipindi cha mvua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom