MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
itv wamedai kuna waliokamatwa na kura 1000!!!!! Walikuwa wanataka kuziingiza kiujanja........mwenye habari zaidi atujuze ni chama gani maana mie nimekuta katikati, ila mji mwema na maji ya chai chadema inaongoza
 
Wanabodi,
Hatimaye matokeo ya awali ya uchaguzi wa Arumeru Mashariki yameanza kutolewa na kuonyesha Chadema inaongoza na kuiacha CCM kwa mbali!.

kituo cha Nshapu 3 kata ya Nkoaranga Chadema 110- CCM 74
Kituo cha Ngarasero:
Chadema 116-CCM 51
Kituo AFP - CHADEMA - 141 CCM - 32
Majiyachai Chadema 130 CCM 53
Chadema 105 CCM 68
Chadema 115 CCM 42
Chadema 118 CCM 48
Mjimwema
Chadema 125 CCM35
Chadema 129 CCM 37
Usa River
Chadema 151 CCM 17

Kwa mujibu wa matangazo ya moja kwa moja ya ITV ya saa 12:00 yameonyesha Chadema kuongoza katika vituo vifuatavyo!.


NB: Matokeo haya ni ya awali tuu ambayo yanaonyesha nyota njema huonekana asubuhi ila wapenzi na mashabiki wa Chadema msianze kushangilia. Ya Busanda na Biharamulo Magharibi yananikumbusha kuwashauri mzianze kushangilia, uchaguzi ulishaisha leo ni uthibitisho tuu!.

you have made a very valid point, pasco.
 
So far mchanganuo ni kama ifuatavyo:
NOVITUOCDMCCM
1Chama19260
2Embaseni A10452
3Enguseni A14620
4Kikuleto Ofisini10484
5Kisambare A11063
6Kisambare B53113
7Kituo cha shule msingi Misini13272
8Kituo cha Shule ya Msingi Misufini
9Leganga14620
10Magadirisho 111637
11Magadirisho 211137
12Maji ya Chai A13053
13Maji ya Chai B10568
14Maji ya Chai C11542
15Maji ya Chai D11853
16Maji ya Chai E10560
17Makiba Majengo 029387
18Mbuguni13272
19Mjimwema 114451
20Mjimwema 214133
21Mjimwema 312535
22Mwarua14634
23Ngarasero11651
24Ofisi ya Kata Majengo (Makiba)7588
25S/M Magadilisho A11637
26S/M Magadilisho B11134
27S/M Mazoezi 112049
28S/M Mazoezi 215850
29S/M Mazoezi 312720
30Shule ya Msingi Ambureni 0219447
31Shule ya Msingi leganga14226
32Sing'isi 120952
33Sing'isi 219540
34Sing'isi 320845
35Tengeru Chuoni11424
36Tengeru Hospitali22040
37Urafiki5628
38Usa River A14226
39USA River Shule ya Msingi11137
40USA River Sokoni 110329
41USA River Sokoni 28841
42Ushirika 216659
TOTAL 5,339 1,969


Kazi inaendelea
 
ITV Wanaripoti wazee wa ccm wamekamatwa na kura zaidi ya 1000 wakitaka kuchakachua
 
ITV
MAJI YA CHAI (A-E)
CCM 53 CDM 130
CCM 68 CDM 105
CCM 42 CDM 115
CCM 58 CDM 118
CCM 60 CDM 105

MJIMWEMA (1-4)

CCM 51 CDM 144
CCM 31 CDM 141
CCM 35 CDM 125
CCM 37 CDM 126

kINGINE

CCM 37 CDM 111

Vituo 10 vyote CDM imeshinda
 
nasikia kuna wazee wamedakwa wanataka kuchakachua kura na wakapewa kipigo na vijana wa CHADEMA. leo wizi inaelekea umedhibitiwa kwa kiasi kikubwa. Mungu saidia Lubuva asiharibu uchaguzi huu.
 
eto

Nishatune ITV,Renatus Mutabuzi yuko hewani na matokeo ya kata ya majani ya chai...CDM wanaongeza kwenye vituo vya kata hiyo kwa idadi kubwa ya kura, anasema wazee kadhaa wa CCM wamekamatwa na sanduku la kura 1000 wako police,Mungu atujalie

Aisee mimi niko interested sana na hao wanaokamatwa na masanduku ya kura. Naomba mtujulishe wanafanywaje au watasema zilikuwa si kura zao
 
Wakuu CDM imeongoza katika vituo zaidi ya 30 kwa matokeo yaliyo kwisha tajwa mpaka sasa magamba ............... yanagonga chupi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom