Matokeo kidato cha nne live! what next? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo kidato cha nne live! what next?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kakakuona40, Feb 8, 2012.

 1. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tusubiri kuona comments za maaskofu maana hali ni mbaya katoka shule zao, kweli nimeamini serikali ya CCM kiboko hakuna wizi tena wa mitihani, Vihiyo watakwisha soon, na ukweli utajulikana.
  mfano ni huu hapa chini
  kazi kwenu
  [h=3]S4011 ST AGATHON SECONDARY SCHOOL
  [/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 2 DIV-IV = 18 FLD = 16[/h]
   
 2. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,989
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  hii shule lazima itakuwa ya mama rwakatare wa ccm hii!
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,484
  Trophy Points: 280
  nafikiri kanisa katoliki lifanye uchunguzi wa hizi shule zinazotumia saints.
  in reality that dam fuc...k...n school is not managed by kanisa.

  lakini pia mkuu umeona top ten eh!! shule ngapi za kanisa zipo. hesabu hallafu uje uniambie.
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Anayefeli ni nani ni kanisa au mwanafunzi? Mbona kuna shule nyingi za st zimefanya vizuri?
   
Loading...