Matokeo kidato cha Nne Asilimia 46 wame-score Zero! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo kidato cha Nne Asilimia 46 wame-score Zero!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Eghorohe, Feb 9, 2012.

 1. Eghorohe

  Eghorohe JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Na mwandishi wetu Fredy Azzah-Gazeti la mwananchi February 9, 2012
  BARAZA la Mtihani la Taifa(Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana yanaonyesha kuwa asilimia 53.59 ya wanafunzi 426,314 waliofanya mtihani huo wamefaulu.

  Maana yake 53.59% wamepata division 1-4, na waliobaki wamepata zero,hata waliopata division four ya 31 nao wanahesabika wamefauru. Hivyo waliopata zero ni 46.41%
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  na waliopata 4 ni % ngapi?
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  wamefauru = wamefaulu
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  wamepasi
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  s0497 temeke youth muslim secondary school
  div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 9 fld= 16
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hayo ndio matunda tuliokuwa tunayapanda miaka minne iliyopita..
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Haya ni mafanikio makubwa kwa serikali ya ccm, maana malengo yake ni kutuanzishia shule za kata zisizo na vifaa wala waalimu ili kuzalisha mambumbumbu wengi ili watoto wao wanaosomeshwa kwenye mashule bora na wengine nje ya nchi waje wawatawale watoto wetu milele.
   
 8. A

  Aisia Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee sijui tunaipeleka wapi nchi, kama wasomi ndo hivyo tena tumekwisha
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  teh teh teh teh
   
 10. mlaizer

  mlaizer JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  waliopata div.1 mpaka 3 = 9.98%
  waliopata div.4 =43.39%
  waliopata div.0= 46.63%
  Kwa wastani waliofaulu vizuri ni kama 10% yaani kati ya wanafunzi 100 waliofanya mtihani ni wanafunzi 10 tu ndio wanauwezo wa kuendelea na kidato cha 5.Hivyo nchi iko ICU kwa sababu ya wizara ya elimu kupewa likizo kwa muda mrefu.
   
 11. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Pathetic! Hawa wote (90%) tunawapeleka wapi? Yaani hili ni janga la kitaifa.
   
 12. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jamaa inabidi wakae chini na kuacha kupigania hijabu na misikiti mashuleni. Nasubiri kwa hamu radio iman watajadili vipi haya matokeo.
   
 13. mlaizer

  mlaizer JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  lengo nadhani ilikuwa ni kuzalisha WAJINGA(FOOLS PRODUCTION),hivyo kwa hili serikali nadhani wamefanikiwa.walitaka watu ambao wataweza kutawalika kirahisi lakini huenda hii ikageuka ikawa kinyume chake.
   
 14. I

  IFRS 9 Senior Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtaacha lini udini?
   
 15. data

  data JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,747
  Likes Received: 6,523
  Trophy Points: 280

  wamepita
   
 16. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #16
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa mfumo huu wamejitahidi. Tujiandae kushuhudia makubwa huko mbeleni.
   
Loading...