mi nimeshangaa kuona division two ya 28aseee wanatuabisha sana tuliosoma zamani sasahivi mtu anapata marks za ubwete ubwete
dah...,,,!!
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"] 33
[/TD]
[TD="width: 4%"] IV
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' BIO - 'D' B/MATH - 'E'
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Jamani sijaelewa huyu dogo inakuwaje kawa na IV-33?? Msaada plz sijui E-inasimama badala ya ngapi katika grades za NECTA??
Huyo kwenye red ni mjomba ako!? afu facebook page ya mtu ndo unaweza kui refer kama source ya habari ya kitaifa kama hii.!!?