Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

Kimboka

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
353
163
Muda huu makao makuu ya necta matokeo yanatangazwa


1888554_848291181851968_1402328781_n.png

UFAULU WAPANDA KIDATO CHA IV 2013.

Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013.

Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wafanya vibaya zaidi Basic Mathematics (17.78%).
WANAULIZIA LINK HIYO HAPO

http://41.188.155.122/CSEE2013/olevel.htm


Kwa mfano:

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS

S0239 ST. FRANCIS GIRLS SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 81 DIV-II = 8 DIV-III = 1 DIV-IV = 0 DIV-0 = 0

link hiyo chini


http://41.188.155.122/CSEE2013/s0239.htm
 
Matokeo yametangazwa na Kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA Dr. Charles Msonde hivi punde.

Ufaulu umepanda kwa 58%.

Vijana ni muda wa kuingia kwenye mtandao wa baraza la mitihani (www.necta.go.tz) na kuvuna kile ulichopanda.
 
Naamini hakutakuwa na vituko kama tulivyokwisha zoea kusikia!!!!!!
 
Jamani yuko wapi Philipo Mulugo atoe ufafanuzi wa matokeo. nimeanza kum mis handsome mulugo
 
We ni unachezea akili za watu sio? Unazani wote tupo kama wewe, kaoge kwanza ndo uje jamvini, bullshit.
 
Ccm imepanua goli sasa wanafunzi Wote wamefaulu division 5 ni wengi hakuna division zero
 
Matokeo yametangazwa na Kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA Dr. Charles Msonde hivi punde. Ufaulu umepanda kwa 58%. Vijana ni muda wa kuingia kwenye mtandao wa baraza la mitihani (www.necta.go.tz) na kuvuna kile ulichopanda.

hiyo press comfrerance na vyombo vya habari imefanyika wapi? Jibu pls
 
Back
Top Bottom