Vuta subira mkuu,Wamewaweka vijana wetu roho juu. wametembelea internet cafe mpaka miguu inawauma kwenye mtandao hakuna kitu. Bora watuambie wakiwa tayari kuliko walivyofanya
Wamekula fedha yangu na matkeo hawaleti!!!!!!MATOKEO PIA YANAPATIKANA KWA KUTUMA SMS YENYE FORMAT: matokeoXnambaKituoXnambaMtahiniwa MFANO: matokeoXs0101X9999 KWENDA 15311 HII NI KWA WATEJA WA VODACOM PEKEE. UTATOZWA TZS 400 TU!
Ata mie washanila pesa yangu bila kunitumia matokeo, Pape inabidi ujisafishe juu ya hilo, huu ni wizi!!Wamekula fedha yangu na matkeo hawaleti!!!!!!
Vuta subira mkuu,
Matokeo ndiyo yanawekwa katika mtandao!
Si unajua mwendo kasi wa 'internet za bongo...
Kwa kuongezea:Source: Muhtasari wa habari TBC1 saa 10jioni.
Ufaulu wapungua.
Mzimu wa somo la Hisabati waendelea kuumiza vichwa vya wadogo ze2.
Nimefuatilia website ya necta bado hawajayabandika.
But hopefully mods watatuwekea kwenye sub-forum ya matokeo ya mitihani.
Check the 1st postMkuu, website yenyewe haifunguki!
Au wameingia offline ili waweze kuyaweka hayo matokeo kwa nafasi!?
mwe pole ndugu yangu, siku nyingine ukisikia kelee mahali, jifiche uchungulie kinachoendelea kwanzaWamekula fedha yangu na matkeo hawaleti!!!!!!