Matokeo kidato cha nne 2009

sasa hawa nao bana yaani wanatangaza halafu kwenye website hawajaweka...what a shame??TZ nakulilia nchi yangu.yaani tunaongoza ofisi za serikali kama tuko kilabuni kwenye komoni
 
Wamewaweka vijana wetu roho juu. wametembelea internet cafe mpaka miguu inawauma kwenye mtandao hakuna kitu. Bora watuambie wakiwa tayari kuliko walivyofanya
 
Wamewaweka vijana wetu roho juu. wametembelea internet cafe mpaka miguu inawauma kwenye mtandao hakuna kitu. Bora watuambie wakiwa tayari kuliko walivyofanya
Vuta subira mkuu,
Matokeo ndiyo yanawekwa katika mtandao!
Si unajua mwendo kasi wa 'internet za bongo'?

******

OUR MOTTO is to serve you better anywhere and everywhere !
Your satisfaction is our pleasure! (NECTA)
 
MATOKEO PIA YANAPATIKANA KWA KUTUMA SMS YENYE FORMAT: matokeoXnambaKituoXnambaMtahiniwa MFANO: matokeoXs0101X9999 KWENDA 15311 HII NI KWA WATEJA WA VODACOM PEKEE. UTATOZWA TZS 400 TU!
 
MATOKEO PIA YANAPATIKANA KWA KUTUMA SMS YENYE FORMAT: matokeoXnambaKituoXnambaMtahiniwa MFANO: matokeoXs0101X9999 KWENDA 15311 HII NI KWA WATEJA WA VODACOM PEKEE. UTATOZWA TZS 400 TU!

***
Baada ya muda mfupi tembealea hapa!

MATOKEO YA KIDATO CHA 4, 2009

CSEE

QT
 
shenzi wanatia viwewe wadogo zetu
kwanini wanachelewa kuyaachia
wanatangaza kwenye net bado!!!
 
MATOKEO PIA YANAPATIKANA KWA KUTUMA SMS YENYE FORMAT: matokeoXnambaKituoXnambaMtahiniwa MFANO: matokeoXs0101X9999 KWENDA 15311 HII NI KWA WATEJA WA VODACOM PEKEE. UTATOZWA TZS 400 TU!
Wamekula fedha yangu na matkeo hawaleti!!!!!!
 
Vuta subira mkuu,
Matokeo ndiyo yanawekwa katika mtandao!
Si unajua mwendo kasi wa 'internet za bongo...

Mkuu, website yenyewe haifunguki!

Au wameingia offline ili waweze kuyaweka hayo matokeo kwa nafasi!?
 
Source: Muhtasari wa habari TBC1 saa 10jioni.
Ufaulu wapungua.
Mzimu wa somo la Hisabati waendelea kuumiza vichwa vya wadogo ze2.

Nimefuatilia website ya necta bado hawajayabandika.
But hopefully mods watatuwekea kwenye sub-forum ya matokeo ya mitihani.
Kwa kuongezea:

Waliofaulu 72.51% ya wanafunzi wote.
Ufaulu umeshuka kwa 11% kulinganisha na mwaka 2008.
Waliopata div. I mpaka III. ni 17.85%

Njia alizotupa Mkuu Pape kupata matokeo tuzipe muda zitafanyakazi tu kwani ndo kwaanza matokeo yenyewe yametoka leo.
Tuwe patient!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom