Matokeo KAMILI ya bunge la EALA

Matokeo KAMILI ya bunge la EALA

Umeandika kama vile shyrose pekeyake ndiye aliyebahatika!au hukuwa na imani naye?au uliahidiwa ----
 
Mfano kundi la kina mama. Ukijumlisha idadi ya kura zao (waliopigiwa kura) unakuta ni 588 lakini cha ajabu wabunge waliopiga kura walikuwa 305 tu. Hizo nyingine zimetokea wapi? Au kulikuwa na utaratibu gani wa kupiga kura?


Ni kwamba kwa kila category mbunge alikuwa anapigia kura majina mawili tu na category ya mwisho majina matatu. Kwa maana hiyo kwa mfano category 4 ya mwisho wabunge wote wangeamua kuyapigia kura majina matatu tu na wengine wapate sifuri, kwenye category hiyo pekee ingekuwa na jumla ya kura zaidi ya 900 huku kila mmoja akiwa na kura 305. Ina maana kila mbunge mmoja alikuwa na kura 2 kwa kila category na category ya mwisho kura 3. Akhsante
 
Good to see this one.... najua kuna watu kura walizopata haziendani na pesa walizohonga na perepete nyingine
Kumbe mkuu kura zinatolewa kwa fedha, mbona tumekwisha kama vilaza watapelekwa EALA maslahi ya Tanzania yatatetewa na nani?????

 
Ni kwamba kwa kila category mbunge alikuwa anapigia kura majina mawili tu na category ya mwisho majina matatu. Kwa maana hiyo kwa mfano category 4 ya mwisho wabunge wote wangeamua kuyapigia kura majina matatu tu na wengine wapate sifuri, kwenye category hiyo pekee ingekuwa na jumla ya kura zaidi ya 900 huku kila mmoja akiwa na kura 305. Ina maana kila mbunge mmoja alikuwa na kura 2 kwa kila category na category ya mwisho kura 3. Akhsante

Understood.

Thanks prof.
 
Walisahau kundi la Wanaume, Watoto, Vijana, Wazee na Makundi ya kidini.

Yaani kwa kifupi namaanisha aliepanga uchaguzi wa kuwakilisha taifa uwe kwa makundi hana upeo mzuri wa mawazo. Hii ni kuligawa taifa na kupunguza uwajibikaji wa wahusika! kila mwakilishi hapo ana kundi lake na kibaya zaidi amepelekwa na chama fulani, kwa hiyo hoja itakayokua nje ya kundi lake au chama chake kilichompeleka haitapata msemaji mwenye kujua kwamba ni jukumu lake.

Upuuuuuuuzi kabisa!

akili yako ni ndogo mno,huwezi kufanya uchambuzi wa mambo ya kitaifa na kimataifa.umekaa kibaguzi baguzi tuuuuuuuuuuu na kipuuzi puuzi
 
mfano kundi la kina mama. Ukijumlisha idadi ya kura zao (waliopigiwa kura) unakuta ni 588 lakini cha ajabu wabunge waliopiga kura walikuwa 305 tu. Hizo nyingine zimetokea wapi? Au kulikuwa na utaratibu gani wa kupiga kura?

uwezi jua ccmafisi labda walifikiri wanachuana na cdm ikabidi wapandikize watu wengine ukumbini ili washinde
 
Wadau tumemwona shy Rose na tunampa hongera sana ,kwa kuwa hiyo ndio ndoto yake ya kila siku kuwa mheshimiwa ,sasa tujiulize je huo ndo mwanzo wa shy Rose kutovaa vimini vya NMB na mapaja nje nje na kubwia fegi?kazi kwako
 
Tunapofanya uchaguzi wa ndani ya Taifa tunajitokeza kwa makundi, lakini hili la kujipanga kama Tanzania katika mchakato wa ushindani na watu walio na nia ya maendeleo, na bado tunakwenda kwa msingi wa makundi ni kugubikwa na giza la ujinga wa kisiasa na kitabaka. Ikiwa ndio taratibu zilizopo inapaswa zibadilishwe haraka, nje ya Tz tunapaswa kutoka na kwenda kama WaTz in full.





Walisahau kundi la Wanaume, Watoto, Vijana, Wazee na Makundi ya kidini.

Yaani kwa kifupi namaanisha aliepanga uchaguzi wa kuwakilisha taifa uwe kwa makundi hana upeo mzuri wa mawazo. Hii ni kuligawa taifa na kupunguza uwajibikaji wa wahusika! kila mwakilishi hapo ana kundi lake na kibaya zaidi amepelekwa na chama fulani, kwa hiyo hoja itakayokua nje ya kundi lake au chama chake kilichompeleka haitapata msemaji mwenye kujua kwamba ni jukumu lake.

Upuuuuuuuzi kabisa!
 
Wadau tumemwona shy Rose na tunampa hongera sana ,kwa kuwa hiyo ndio ndoto yake ya kila siku kuwa mheshimiwa ,sasa tujiulize je huo ndo mwanzo wa shy Rose kutovaa vimini vya NMB na mapaja nje nje na kubwia fegi?kazi kwako

hongera sana kwake, ila aachane na vijana wa bongo flavour sio hadhi yake
 
Mgombea wa CUF alijitoa lakini kapata kura 7..... je wabunge walikuwa wanapiga kura kwa maslahi ya nchi au ya chama?
 
Matokeo ya bunge la EALA

1. Kundi la Wanawake
[TABLE="class: grid, width: 5"]
[TR]
[TD]No.
[/TD]
[TD]Jina
[/TD]
[TD]Chama
[/TD]
[TD]Kura
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD]Nd. Angela Charles Kizigha
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]166
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2
[/TD]
[TD]Nd. Fancy Haji Nkuhi
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]57
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3
[/TD]
[TD]Dkt. Godbertha Kokubanza Kinyondo
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]32
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4
[/TD]
[TD]Nd. Janet Deo Mmari
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]119
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5
[/TD]
[TD]Nd. Janet Zebedayo Mbene
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]87
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6
[/TD]
[TD]Nd. Rose Daudi Mwalusamba
[/TD]
[TD]CUF
[/TD]
[TD]7
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD]Nd. Shy-Rose Sadruddin Bhanji
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]120
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

2. Kundi la Zanzibar
[TABLE="class: grid, width: 5"]
[TR]
[TD]No.
[/TD]
[TD]Jina
[/TD]
[TD]Chama
[/TD]
[TD]Kura
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD]Dkt. Said Gharib Bilal
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]88
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2
[/TD]
[TD]Nd. Abdullah Ali Hassan Mwinyi
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]227
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3
[/TD]
[TD]Dkt. Ahmada Hamad Khatib
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]36
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4
[/TD]
[TD]Dkt. Haji Mwita Haji
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]11
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5
[/TD]
[TD]Nd. Khamis Jabir Makame
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]6
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6
[/TD]
[TD]Nd. Zubeir Ali Maulid
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]39
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD]Nd. Maryam Ussi Yahya
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]91
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8
[/TD]
[TD]Nd. Sebtuu Mohamed Nassor
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]74
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

3. Kundi la Wapinzani
[TABLE="class: grid, width: 5"]
[TR]
[TD]No.
[/TD]
[TD]Jina
[/TD]
[TD]Chama
[/TD]
[TD]Kura
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD]Nd. Antony Calist Komu
[/TD]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]93
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2
[/TD]
[TD]Dkt. Fortunatus Lwanyantika Masha
[/TD]
[TD]UDP
[/TD]
[TD]58
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3
[/TD]
[TD]Nd. Juju Martin Danda
[/TD]
[TD]NCCR-M
[/TD]
[TD]23
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4
[/TD]
[TD]Nd. Micah Elifuraha Mrindoko
[/TD]
[TD]TLP
[/TD]
[TD]66
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5
[/TD]
[TD]Nd. Mwaiseje S. Polisya
[/TD]
[TD]NCCR-M
[/TD]
[TD]42
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6
[/TD]
[TD]Nd. Nderakindo Perpetua Kessy
[/TD]
[TD]NCCR-M
[/TD]
[TD]113
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD]Nd. Twaha Issa Taslima
[/TD]
[TD]CUF
[/TD]
[TD]175
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

4. Kundi la Bara
[TABLE="class: grid, width: 5"]
[TR]
[TD]No.
[/TD]
[TD]Jina
[/TD]
[TD]Chama
[/TD]
[TD]Kura
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD]Nd. Adam Omar Kimbisa
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]210
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2
[/TD]
[TD]Nd. Bernard Musomi Murunya
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]135
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3
[/TD]
[TD]Nd. Charles Makongoro Nyerere
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]123
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4
[/TD]
[TD]Dkt. Edmund Bernard Mndolwa
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]42
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5
[/TD]
[TD]Nd. Elibariki Immanuel Kingu
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]31
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6
[/TD]
[TD]Dkt. Evans Mujuni Rweikiza
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]78
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD]Nd. John Dunstan Lifa-Chipaka
[/TD]
[TD]TADEA
[/TD]
[TD]8
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8
[/TD]
[TD]Nd. Mrisho Mashaka Gambo
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]75
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9
[/TD]
[TD]Nd. Siraju Juma Kaboyonga
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]38
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10
[/TD]
[TD]Nd. William John Malecela
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]42
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Demokrasia imetendeka.Naamini waliamua (CCM wengi) kumkomoa CDM na kuwapa NCCR na CUF.
 
vipi, TADEA ilishaungana na CCM? Huyo John Dunstan Lifa-Chipaka wa TADEA aliogmbeaje chini ya CCM. Najua kuwa Dunstan Lifa-Chipaka alikuwa rafiki mkubwa sana wa Oscar Kambona na (kulingana na kesi ya uhaini ya mwaka 1971) walikuwa wamepanga kumpindua Nyerere na kumwondoa madarakani kwa nguvu. Je baada ya waanzilishi wa vyama hivi, ambao walikuwa ni mahasidi wakubwa, kufariki wafuasi wao wamegundua kuwa tofauti zao hazina tija na hivyo kuamua kufanya mambo yao kwa pamoja.

mcheza kamali wa muda mrefu nadhani anaelekea mwisho wake kisiasa anacheza karata ya mwisho
 
Matokeo ya bunge la EALA

1. Kundi la Wanawake
[TABLE="class: grid, width: 5"]
[TR]
[TD]No.
[/TD]
[TD]Jina
[/TD]
[TD]Chama
[/TD]
[TD]Kura
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD]Nd. Angela Charles Kizigha
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]166
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2
[/TD]
[TD]Nd. Fancy Haji Nkuhi
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]57
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3
[/TD]
[TD]Dkt. Godbertha Kokubanza Kinyondo
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]32
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4
[/TD]
[TD]Nd. Janet Deo Mmari
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]119
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5
[/TD]
[TD]Nd. Janet Zebedayo Mbene
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]87
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6
[/TD]
[TD]Nd. Rose Daudi Mwalusamba
[/TD]
[TD]CUF
[/TD]
[TD]7
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD]Nd. Shy-Rose Sadruddin Bhanji
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]120
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

2. Kundi la Zanzibar
[TABLE="class: grid, width: 5"]
[TR]
[TD]No.
[/TD]
[TD]Jina
[/TD]
[TD]Chama
[/TD]
[TD]Kura
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD]Dkt. Said Gharib Bilal
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]88
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2
[/TD]
[TD]Nd. Abdullah Ali Hassan Mwinyi
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]227
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3
[/TD]
[TD]Dkt. Ahmada Hamad Khatib
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]36
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4
[/TD]
[TD]Dkt. Haji Mwita Haji
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]11
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5
[/TD]
[TD]Nd. Khamis Jabir Makame
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]6
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6
[/TD]
[TD]Nd. Zubeir Ali Maulid
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]39
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD]Nd. Maryam Ussi Yahya
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]91
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8
[/TD]
[TD]Nd. Sebtuu Mohamed Nassor
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]74
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

3. Kundi la Wapinzani
[TABLE="class: grid, width: 5"]
[TR]
[TD]No.
[/TD]
[TD]Jina
[/TD]
[TD]Chama
[/TD]
[TD]Kura
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD]Nd. Antony Calist Komu
[/TD]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]93
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2
[/TD]
[TD]Dkt. Fortunatus Lwanyantika Masha
[/TD]
[TD]UDP
[/TD]
[TD]58
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3
[/TD]
[TD]Nd. Juju Martin Danda
[/TD]
[TD]NCCR-M
[/TD]
[TD]23
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4
[/TD]
[TD]Nd. Micah Elifuraha Mrindoko
[/TD]
[TD]TLP
[/TD]
[TD]66
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5
[/TD]
[TD]Nd. Mwaiseje S. Polisya
[/TD]
[TD]NCCR-M
[/TD]
[TD]42
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6
[/TD]
[TD]Nd. Nderakindo Perpetua Kessy
[/TD]
[TD]NCCR-M
[/TD]
[TD]113
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD]Nd. Twaha Issa Taslima
[/TD]
[TD]CUF
[/TD]
[TD]175
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

4. Kundi la Bara
[TABLE="class: grid, width: 5"]
[TR]
[TD]No.
[/TD]
[TD]Jina
[/TD]
[TD]Chama
[/TD]
[TD]Kura
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD]Nd. Adam Omar Kimbisa
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]210
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2
[/TD]
[TD]Nd. Bernard Musomi Murunya
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]135
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3
[/TD]
[TD]Nd. Charles Makongoro Nyerere
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]123
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4
[/TD]
[TD]Dkt. Edmund Bernard Mndolwa
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]42
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5
[/TD]
[TD]Nd. Elibariki Immanuel Kingu
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]31
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6
[/TD]
[TD]Dkt. Evans Mujuni Rweikiza
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]78
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD]Nd. John Dunstan Lifa-Chipaka
[/TD]
[TD]TADEA
[/TD]
[TD]8
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8
[/TD]
[TD]Nd. Mrisho Mashaka Gambo
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]75
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9
[/TD]
[TD]Nd. Siraju Juma Kaboyonga
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]38
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10
[/TD]
[TD]Nd. William John Malecela
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]42
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

CHADEMA Mpooooooooooo ? mtu mlie mleta hakubaliki na mlifanya kosa kuleta mtu mmoja tu aisee, jifunzeni kwa wenzenu kufuata kanuni ambapo ilitaka watu 3.
 
Hivi jamani, hadi leo sijaelewa jambo moja.Ali Hassan Mwinyi kazaliwa wapi? Na je ni Mbara au Mzanzibari??
Knowledge yangu inajua Mwinyi ni Mbara, Zanzibar kapelekwa na Ticha, akawe Rais, majuzi dogo wake - Hussen alikuwa mbunge wa Mafia, mara sasa hivi ni mbunge huko Z'bar.

Sasa na hapa naona dogo mwingine - Abdullah kaja na kura za Z'bar ilihali kila siku yuko huku Dar, na Hammer lake, na firm yake - pale Alpha House.

Au Zanzibar ndo kuna u-slope wa kura na sie twende!?

Kuishi bara hakuondoi asili kwamba Ally Hassan Mwinyi ni mzanzibar usichanganye mchanga na mboga hutaweza kula.

Tangu Mwinyi alipokuwa kijana balozi wetu kule Misri alikuwa kwa tiketi ya ZNZ
 
Back
Top Bottom