Matokeo KAMILI ya bunge la EALA

Ukiangalia kura za kundi la bara ni kama wateule walikuwa wameshajulikana.
 
Matokeo ya bunge la EALA
2
Nd. Fancy Haji Nkuhi
CCM
57

4. Kundi la Bara
2
Nd. Bernard Musomi Murunya
CCM135

Wadau vipi kuhusu uraia wa hiyo Nd Musomi, siyo MKENYA kweli??????

Na huyo Fancy sijui ni mke wa nani hapo sisiem, maana dah!!!!
 
Wakuu mimi siku bahatika kufuatilia huu mchakato.Swali langu nikuwa nilisikia chadema wamegoma mpaka waongezewe mgombea mmoja kwa upande wao na mmoja kwa wapinzani wote sasa sijaelewa kilichotokea mpaka wa chadema wakose vyote
 
Matokeo ya bunge la EALA
2Nd. Fancy Haji NkuhiCCM57


4. Kundi la Bara
2Nd. Bernard Musomi Murunya
Wadau vipi kuhusu uraia wa hiyo Nd Musomi, siyo MKENYA kweli??????

Na huyo Fancy sijui ni mke wa nani hapo sisiem, maana dah!!!!
Mimi nashangaa tu Nancy alifikaje stage hii, Nape mhh!!!
 
Hivi inakuwaje ukipiga hesabu ya idadi ya kura kwa kila category unakuta imezidi idaidi ya wapiga kura ambao walikuwa 305 tu.
Kila mbunge alitakiwa apige at least kura 2 na at most kura 9, utaona mfano kundi la kwanza kama wote unaosema 305 wangepiga kura zao in total zingekuwa 610 lakini kwa mgombea mmoja zisingezidi 305.
 
Antony Komu kura 93,siyo haba hata kidogo,next time kitaeleweka kwa CDM
I wonder kama wabunge wa CDM wako 48 in total na ninauhakika jana hawakuwepo wote mfano Lissu, then hizo kura zaidi ya 40 ni za CUF? sidhani, nafikiri ni baadhi ya wana CCM walimpigia, just thinking aloud.
 
Great thinkers ni kweli kwamba tulitarajia wabunge hawa kutuwakilisha katika Bunge la Africa Mashariki kwa orodha hii hapa chini?

1. Nderakindo Kessy - NCCR - Mageuzi
2. Twaha Taslima - CUF
3. Charles Makongoro Nyerere - CCM
4. Shy-Rose Bhanji - CCM
5. Adam Kimbisa - CCM
6. Angela Kizigha - CCM
7. Abdallah Ali Hassan Mwinyi - CCM
8. Bernard Mumnya - CCM
9. Mariam Ussi Yahya - CCM

Naomba kuwasilisha.
 
Great thinkers ni kweli kwamba tulitarajia wabunge hawa kutuwakilisha katika Bunge la Africa Mashariki kwa orodha hii hapa chini?

1. Nderakindo Kessy - NCCR - Mageuzi
2. Twaha Taslima - CUF
3. Charles Makongoro Nyerere - CCM
4. Shy-Rose Bhanji - CCM
5. Adam Kimbisa - CCM
6. Angela Kizigha - CCM
7. Abdallah Ali Hassan Mwinyi - CCM
8. Bernard Mumnya - CCM
9. Mariam Ussi Yahya - CCM

Naomba kuwasilisha.

Mimi nimefurahishwa na uteuzi wafuatao katika wote
1. Kessy -NCCR

2. Taslima -CUF

3. Bhanji - CCM

Sikufurahishwa na wafuatao

1. Kizigha

wengine siwafahamu hivyo niko indifferent

generally nimefurahia chadema kupigwa chini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom