Matokeo KAMILI ya bunge la EALA

Matokeo KAMILI ya bunge la EALA

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Matokeo ya bunge la EALA

1. Kundi la Wanawake
[TABLE="class: grid, width: 100"]
[TR]
[TD]No.
[/TD]
[TD]Jinannnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
[/TD]
[TD]Chama
[/TD]
[TD]Kura
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD]Nd. Angela Charles Kizigha
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]166
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2
[/TD]
[TD]Nd. Fancy Haji Nkuhi
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]57
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3
[/TD]
[TD]Dkt. Godbertha K. Kinyondo
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]32
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4
[/TD]
[TD]Nd. Janet Deo Mmari
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]119
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5
[/TD]
[TD]Nd. Janet Zebedayo Mbene
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]87
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6
[/TD]
[TD]Nd. Rose Daudi Mwalusamba
[/TD]
[TD]CUF
[/TD]
[TD]7
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD]Nd. Shy-Rose Sadruddin Bhanji
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]120
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

2. Kundi la Zanzibar
[TABLE="class: grid, width: 5"]
[TR]
[TD]No.
[/TD]
[TD]Jinannnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
[/TD]
[TD]Chama
[/TD]
[TD]Kura
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD]Dkt. Said Gharib Bilal
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]88
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2
[/TD]
[TD]Nd. Abdullah Ali Hassan Mwinyi
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]227
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3
[/TD]
[TD]Dkt. Ahmada Hamad Khatib
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]36
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4
[/TD]
[TD]Dkt. Haji Mwita Haji
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]11
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5
[/TD]
[TD]Nd. Khamis Jabir Makame
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]6
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6
[/TD]
[TD]Nd. Zubeir Ali Maulid
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]39
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD]Nd. Maryam Ussi Yahya
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]91
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8
[/TD]
[TD]Nd. Sebtuu Mohamed Nassor
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]74
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

3. Kundi la Wapinzani
[TABLE="class: grid, width: 5"]
[TR]
[TD]No.
[/TD]
[TD]Jinannnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
[/TD]
[TD]Chama
[/TD]
[TD]Kura
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD]Nd. Antony Calist Komu
[/TD]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]93
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2
[/TD]
[TD]Dkt. Fortunatus Lwanyantika Masha
[/TD]
[TD]UDP
[/TD]
[TD]58
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3
[/TD]
[TD]Nd. Juju Martin Danda
[/TD]
[TD]NCCR-M
[/TD]
[TD]23
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4
[/TD]
[TD]Nd. Micah Elifuraha Mrindoko
[/TD]
[TD]TLP
[/TD]
[TD]66
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5
[/TD]
[TD]Nd. Mwaiseje S. Polisya
[/TD]
[TD]NCCR-M
[/TD]
[TD]42
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6
[/TD]
[TD]Nd. Nderakindo Perpetua Kessy
[/TD]
[TD]NCCR-M
[/TD]
[TD]113
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD]Nd. Twaha Issa Taslima
[/TD]
[TD]CUF
[/TD]
[TD]175
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

4. Kundi la Bara
[TABLE="class: grid, width: 5"]
[TR]
[TD]No.
[/TD]
[TD]Jinannnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
[/TD]
[TD]Chama
[/TD]
[TD]Kura
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD]Nd. Adam Omar Kimbisa
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]210
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2
[/TD]
[TD]Nd. Bernard Musomi Murunya
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]135
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3
[/TD]
[TD]Nd. Charles Makongoro Nyerere
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]123
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4
[/TD]
[TD]Dkt. Edmund Bernard Mndolwa
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]42
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5
[/TD]
[TD]Nd. Elibariki Immanuel Kingu
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]31
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6
[/TD]
[TD]Dkt. Evans Mujuni Rweikiza
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]78
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD]Nd. John Dunstan Lifa-Chipaka
[/TD]
[TD]TADEA
[/TD]
[TD]8
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8
[/TD]
[TD]Nd. Mrisho Mashaka Gambo
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]75
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9
[/TD]
[TD]Nd. Siraju Juma Kaboyonga
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]38
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10
[/TD]
[TD]Nd. William John Malecela
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]42
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Good to see this one.... najua kuna watu kura walizopata haziendani na pesa walizohonga na perepete nyingine
 
vipi, TADEA ilishaungana na CCM? Huyo John Dunstan Lifa-Chipaka wa TADEA aliogmbeaje chini ya CCM. Najua kuwa Dunstan Lifa-Chipaka alikuwa rafiki mkubwa sana wa Oscar Kambona na (kulingana na kesi ya uhaini ya mwaka 1971) walikuwa wamepanga kumpindua Nyerere na kumwondoa madarakani kwa nguvu. Je baada ya waanzilishi wa vyama hivi, ambao walikuwa ni mahasidi wakubwa, kufariki wafuasi wao wamegundua kuwa tofauti zao hazina tija na hivyo kuamua kufanya mambo yao kwa pamoja.
 
Walisahau kundi la Wanaume, Watoto, Vijana, Wazee na Makundi ya kidini.

Yaani kwa kifupi namaanisha aliepanga uchaguzi wa kuwakilisha taifa uwe kwa makundi hana upeo mzuri wa mawazo. Hii ni kuligawa taifa na kupunguza uwajibikaji wa wahusika! kila mwakilishi hapo ana kundi lake na kibaya zaidi amepelekwa na chama fulani, kwa hiyo hoja itakayokua nje ya kundi lake au chama chake kilichompeleka haitapata msemaji mwenye kujua kwamba ni jukumu lake.

Upuuuuuuuzi kabisa!
 
Hawa ndio walioshinda kuwa wabunge wa Afrika Mashariki ,Shayrose Banji,Anjela Charless Kizigha,Mwinyi Hassan,Taslim Twaha Issa, Kesi Ndelakindo Perepetua, Kimbisa Adam Omary,Murunya Bernad,Makongoro Nyerere na Yahya .

Tunawapongeza kwa ushindi huo na pia tunawatakia kila la kheri katika majukumu yaliyo mbele
 
Hivi jamani, hadi leo sijaelewa jambo moja.Ali Hassan Mwinyi kazaliwa wapi? Na je ni Mbara au Mzanzibari??
Knowledge yangu inajua Mwinyi ni Mbara, Zanzibar kapelekwa na Ticha, akawe Rais, majuzi dogo wake - Hussen alikuwa mbunge wa Mafia, mara sasa hivi ni mbunge huko Z'bar.

Sasa na hapa naona dogo mwingine - Abdullah kaja na kura za Z'bar ilihali kila siku yuko huku Dar, na Hammer lake, na firm yake - pale Alpha House.

Au Zanzibar ndo kuna u-slope wa kura na sie twende!?
 
Hivi inakuwaje ukipiga hesabu ya idadi ya kura kwa kila category unakuta imezidi idaidi ya wapiga kura ambao walikuwa 305 tu.
 
jukumu walilopewa ni kubwa na wachukue ushauri wa dk. mwakyembe kwa kuweka maslahi ya taifa mbele. kila la heri wabunge wetu....
 
Saa zingine nashangaa inakuwaje mtu usiye na ufahamu kama wewe unajoin kwenye forum kama hii ya watu wajuao mambo! Mwinyi ni mtu wa bara aliyepelekwa Zanzibar na Ticha akawe rais? Elimu yako ya darasa la ngapi? Nakushauri uhamie kwenye makundi yanayokufaa lakini si hapa kwenye siasa maana unatutia kichefuchefu wengine tunaposoma articles kama hizi na kutupotezea muda wetu kukujibu!

Hivi jamani, hadi leo sijaelewa jambo moja.Ali Hassan Mwinyi kazaliwa wapi? Na je ni Mbara au Mzanzibari??
Knowledge yangu inajua Mwinyi ni Mbara, Zanzibar kapelekwa na Ticha, akawe Rais, majuzi dogo wake - Hussen alikuwa mbunge wa Mafia, mara sasa hivi ni mbunge huko Z'bar.

Sasa na hapa naona dogo mwingine - Abdullah kaja na kura za Z'bar ilihali kila siku yuko huku Dar, na Hammer lake, na firm yake - pale Alpha House.

Au Zanzibar ndo kuna u-slope wa kura na sie twende!?
 
Huyo Chipaka wa TADEA kwa nini anawekwa kwenye kundi la CCM? Ama Tadea ni sehemu ya chama tawala?
 
toa mchanganuo tafadhali

Mfano kundi la kina mama. Ukijumlisha idadi ya kura zao (waliopigiwa kura) unakuta ni 588 lakini cha ajabu wabunge waliopiga kura walikuwa 305 tu. Hizo nyingine zimetokea wapi? Au kulikuwa na utaratibu gani wa kupiga kura?
 
hussein mwinyi alikuwa mbunge wa mkuranga na si mafia.

Hivi jamani, hadi leo sijaelewa jambo moja.Ali Hassan Mwinyi kazaliwa wapi? Na je ni Mbara au Mzanzibari?? Knowledge yangu inajua Mwinyi ni Mbara, Zanzibar kapelekwa na Ticha, akawe Rais, majuzi dogo wake - Hussen alikuwa mbunge wa Mafia, mara sasa hivi ni mbunge huko Z'bar. Sasa na hapa naona dogo mwingine - Abdullah kaja na kura za Z'bar ilihali kila siku yuko huku Dar, na Hammer lake, na firm yake - pale Alpha House. Au Zanzibar ndo kuna u-slope wa kura na sie twende!?
 
Back
Top Bottom