Baada ya kuangalia matokeo kidato cha nne ,nimeamua kuleta hapa mada na kuuliza inakuaje mkoa wa morogoro unaingiza shule nne za mwisho kitaifa ,wakati kanda ya pwani ikiendelea kuburuza mkia????
hongereni tanga! mmeingiza moja safari hii
1. Pande ya mkoani Lindi,
2. Igawa ya Morogoro,
3.Korona ya Arusha,
4. Sofi ya Morogoro,
5. Kurui ya mkoani Pwani
6. Patema ya Tanga
7. Saviak ya Dar es salaam,
8. Gubali ya Dodoma,
9. Kichangani ya Morogoro
10. Malinyi ya Morogoro.
wana Jf wengi waliinanga Tanga wakati ilipoingiza shule nyingi katika shule za mwisho kufanya vizuri mwaka jana katika matokeo ya kidato cha pili. wengi walikuja na kebehi na kejeli wakihusisha kufeli huko na suala la MAPENZI na DINI. Nilihoji na kusisitiza kuwa kutumia "variables" hizo mbili ni KOSA na hakuna uhusiano kabisa kati ya hoja hizo na kufeli.....Baada ya kuangalia matokeo kidato cha nne ,nimeamua kuleta hapa mada na kuuliza inakuaje mkoa wa Morogoro.
Unaingiza shule nne za mwisho kitaifa ,wakati kanda ya Pwani ikiendelea kuburuza mkia?
Hongereni Tanga! mmeingiza moja safari hii
1. Pande ya mkoani Lindi,
2. Igawa ya Morogoro,
3.Korona ya Arusha,
4. Sofi ya Morogoro,
5. Kurui ya mkoani Pwani
6. Patema ya Tanga
7. Saviak ya Dar es salaam,
8. Gubali ya Dodoma,
9. Kichangani ya Morogoro
10. Malinyi ya Morogoro.