Kuna tetesi kuwa batilda buriani ametangazwa mshini watu washerehekea barabara zafungwa walioko maeneo ya clock tower watuhabarishe nasikia watu wamejikusanya kwenye jengo la manispaa

nimetoka kuongea na diwani mmojawapo aliyechaguliwa ananaiambia kwamba sasa hivi ndio watu wako manispaa wanasubiri kusikia nani anaongoza katika kura za ubunge. Polisi yote imehamia hapo na magari yao ya kuwasha sijui nini kinaendelea.
Kuna tetesi kuwa batilda buriani ametangazwa mshini watu washerehekea barabara zafungwa walioko maeneo ya clock tower watuhabarishe nasikia watu wamejikusanya kwenye jengo la manispaa
Huyu mtu angekuwa karibu anastahili kipigo tu, hakuna haja ya kuzungumza nae. Tutakususia kuchangia maada zako hapa jf. ningekuwa na uwezo ni kukufungia kupost thread kwa miezi sita. Unataka kutuaribia Super monday yetu.
Kuna tetesi kuwa batilda buriani ametangazwa mshini watu washerehekea barabara zafungwa walioko maeneo ya clock tower watuhabarishe nasikia watu wamejikusanya kwenye jengo la manispaa
Mimi ofisi yangu iko hapa karibu na Manispaa Arusha! Hizo tetesi ni za barabarani bado wagombea wako ndani ya Manispaa sijui wanasubiri nini na huku Lema anaongoza huu ni ucheleweshaji wa matokeoo mpaka kieleweke!
Kuna tetesi kuwa batilda buriani ametangazwa mshini watu washerehekea barabara zafungwa walioko maeneo ya clock tower watuhabarishe nasikia watu wamejikusanya kwenye jengo la manispaa
Mkuu Batilda kaachwa mbali sana hawezi kubebwa hata kidogo.
CHADEMA wameshashinda kata ya Kaloleni,Themi,Kimandolu,Engutoto,Levolosi,Elerai.CCM kata ya Kati,Moshono TLP Sokoni1.Mpaka sasa CCM inameshinda kata mbili tu kata kumi zimeenda upinzani mkuu.