Elections 2010 Matokeo arusha mjini

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Kuna tetesi kuwa batilda buriani ametangazwa mshini watu washerehekea barabara zafungwa walioko maeneo ya clock tower watuhabarishe nasikia watu wamejikusanya kwenye jengo la manispaa
 
Nimezungumza hna rafiki yangu ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA mkoa akanithibitishia kuwa CHADEMA na Godbless Lema ndo wameshinda.
 
Kuna tetesi kuwa batilda buriani ametangazwa mshini watu washerehekea barabara zafungwa walioko maeneo ya clock tower watuhabarishe nasikia watu wamejikusanya kwenye jengo la manispaa

Batilda hajatangazwa mshindi amekataa kusain matokeo wakati kapoteza kata 14. Nonsens !!!!!!!!!!!
 
nimetoka kuongea na diwani mmojawapo aliyechaguliwa ananaiambia kwamba sasa hivi ndio watu wako manispaa wanasubiri kusikia nani anaongoza katika kura za ubunge. Polisi yote imehamia hapo na magari yao ya kuwasha sijui nini kinaendelea.
 
bado hayajatangazwa, lakini habari za awali zinasema kuwa kati ya kata 19 CHADEMA WAMECHUKUA KATA 14.
 
Kuna tetesi kuwa batilda buriani ametangazwa mshini watu washerehekea barabara zafungwa walioko maeneo ya clock tower watuhabarishe nasikia watu wamejikusanya kwenye jengo la manispaa
Huyu mtu angekuwa karibu anastahili kipigo tu, hakuna haja ya kuzungumza nae. Tutakususia kuchangia maada zako hapa jf. ningekuwa na uwezo ni kukufungia kupost thread kwa miezi sita. Unataka kutuaribia Super monday yetu.
 
Arusha inarock babake. Acha umbea .Inaweza ikawa ya kwanza TZ kwa Chadema wengi RAHA HADI BASI
 
Kuna tetesi kuwa batilda buriani ametangazwa mshini watu washerehekea barabara zafungwa walioko maeneo ya clock tower watuhabarishe nasikia watu wamejikusanya kwenye jengo la manispaa

Acha kudanganya watu mzee sisi ndiyo tuko Arusha, Huyo mama ameshakta ticket ya Precision air kwenda zenji kwa taarifa!!!!!!!!!!
 
News kutoka ndani ya mjengo ni kwamba kuna malumbano na Batilda hataki kusign na kukubali matokeo yake
ya kuangushwa !!!!!!
 
Mimi ofisi yangu iko hapa karibu na Manispaa Arusha! Hizo tetesi ni za barabarani bado wagombea wako ndani ya Manispaa sijui wanasubiri nini na huku Lema anaongoza huu ni ucheleweshaji wa matokeoo mpaka kieleweke!
 
Kuna tetesi kuwa batilda buriani ametangazwa mshini watu washerehekea barabara zafungwa walioko maeneo ya clock tower watuhabarishe nasikia watu wamejikusanya kwenye jengo la manispaa

Heshima kwako Kitalolo,

Mkuu Batilda kaachwa mbali sana hawezi kubebwa hata kidogo.

CHADEMA wameshashinda kata ya Kaloleni,Themi,Kimandolu,Engutoto,Levolosi,Elerai.CCM kata ya Kati,Moshono TLP Sokoni1.Mpaka sasa CCM inameshinda kata mbili tu kata kumi zimeenda upinzani mkuu.
 
Ati amekataa kusaini?
sometimes majina yanaponzwa. Mtu ataitwaje Buriani bana!!
haya Buriani Batilda.
 
Batilda hajatangazwa mshindi amekataa kusain matokeo wakati kapoteza kata 14. Nonsens !!!!!!!!!!!

Batilda kamwe hatakubali matokeo kwa sababu ..."bila ya kuwa bungeni she has no future..........at least that is what she believes...."
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom