Matiti ya wanawake baada ya kuzaa.

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Naomba radhi kwanza maana hata mimi nina mama angu aliye nizaa. Heshima kwa wanawake wote.

Naomba kujua huu utofauti wa matiti baada ya mwanamke kuzaa.

Kuna wengine baada ya kuzaa matiti yanakua makubwa kiasi hadi kimlemea.

Kuna wengine yanapotea kabisa .. yaani yanalala utadhani tissu yote imekamuliwa?

Kuna wengine yanakua kawaida sana , kunakua na ugumu flani na sio rahisi kujua kama kanyonyesha.

1. Je ni chakula
2. Je ni uzembe wa kutofanya mazoezi
3. Je inatokana na ukoo
4. Je ni matatizo yanayo tokana na magonjwa fulani

Naomba watalaamu watusaidie sababu ya hizo tofauti.
20190511_102939.jpeg
 
Naomba radhi kwanza maana hata mimi nina mama angu aliye nizaa. Heshima kwa wanawake wote.

Naomba kujua huu utofauti wa matiti baada ya mwanamke kuzaa.

Kuna wengine baada ya kuzaa matiti yanakua makubwa kiasi hadi kimlemea.

Kuna wengine yanapotea kabisa .. yaani yanalala utadhani tissu yote imekamuliwa?

Kuna wengine yanakua kawaida sana , kunakua na ugumu flani na sio rahisi kujua kama kanyonyesha.

Naomba watalaamu watusaidie sababu ya hizo tofauti.View attachment 1093840
Sipati picha ya Nick minaj akizaa
 
Back
Top Bottom