mchakachuaji192
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 366
- 68
Matiti ni mali yangu mwenyewe!!! Ninayaruhusu kutumiwa na mwingine (mtoto, mume) kulingana na mahitajio na mazingira. Full stop!!!!
Matiti ni mali yangu mwenyewe!!! Ninayaruhusu kutumiwa na mwingine (mtoto, mume) kulingana na mahitajio na mazingira. Full stop!!!!
si mali yako hata kidogo. wewe na matiti yako wote mali ya Mungu
mbona yako hujasema ni mali ya nanai? kweli wewe mchakachuaji!
Wanawake wote habari senyu.........:hungry::hungry:....... samahani kwa hii off topic, hivi mtoto akinyonya nyonyo mnajisikia vilevile kama akinyonya baba watoto? Nauliza kwasababu sijawahi kuwasikia mkiguna kimahaba wakati watoto wakinyonya. Samahani kama nimewakwaza.:whoo::whoo::whoo:
Wewe una kesi ya kujibu. Jana ikawaje tena? Nani alikuwa anayanyonya?hahhahaaaaaaaaaa hahhaaaaaaaaaaaaa....dah topic nyngne jaman mweeeeeeeeee!!!!!!
roy ebu kuja tukafanaye xpermnt nw nw...........:redfaces::redfaces:!!!!
Kuna mijitu itamuonea wivu babu muda si mrefu.matiti yangu ni mali ya babu.
babu sorry jana i was bze ..hakuna aliyenyonya wala kunyonywa......Wewe una kesi ya kujibu. Jana ikawaje tena? Nani alikuwa anayanyonya?
Kuna mijitu itamuonea wivu babu muda si mrefu.
The Following User Says Thank You to Rose1980 For This Useful Post:
Asprin (Today)
Mimi ni dume, hivyo sina nafasi ya kujibu...! Better I keep silent....!Je, wewe kama ni mwanamke matiti yako ni mali ya nani? Mtoto au mume wako?
naomba msaada katika kunifahamisha hili suala jamani
Mbona nimewahi kumfahamu huyu mtu....! Au ndio mmiliki wa yakwako?mbona yako hujasema ni mali ya nanai? kweli wewe mchakachuaji!
Another inductee in my 'what the hell' column......