mchakachuaji192
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 366
- 67
Linapokuja suala la matiti wanaume wengi (si wote) hunyang'anyana hati miliki ya matiti na watoto wanaonyonya hata hivyo wanawake nao kila mmoja ana mtazamo wake tofauti,, nimekuwa nikipata na kigugumizi cha mawazo kuwa nani hasa anaestahili kuwa mmiliki wa matiti, kuna mdada nilimuuliza jibu lake lilikuwa hivi "Mume wangu ndiye anamiliki matiti yangu kwa sababu mume alikuja kabla ya mtoto. Baada ya mtoto kunyonya kwa muda inakuwa zamu ya mume wangu kwani tunalala kitanda kimoja. Mtoto wangu ana access ya matiti yangu kwa muda tu wakati mume wangu ni mali yake maisha yetu yote. Matiti yangu ni kitu ambacho mume wangu huchezea na pia ni mto wake wa kulalia. Ukweli ni kwamba mume wangu hujisikia wivu kama mtoto wangu ataendelea kunyonya zaid ya muda aliopewa. Linapokuja suala la matiti yangu mume wangu huwa anachanganyikiwa, hawezi kufanya ile kitu (sex) bila matiti yangu"
Je, wewe kama ni mwanamke matiti yako ni mali ya nani? Mtoto au mume wako?
naomba msaada katika kunifahamisha hili suala jamani
Je, wewe kama ni mwanamke matiti yako ni mali ya nani? Mtoto au mume wako?
naomba msaada katika kunifahamisha hili suala jamani