...miaka ya sitini walikuwa wanaficha nyonyo kwa khanga, siku hizi aaaah, global warming..teh! Raha tu ni kuwa mwanamke akishajifungua ile nyonyo inakuwa sahani ya kumlisha mtoto, maudhui yanabadilika ghafla, hata ukiziona ni kama umeona paji la uso tu...
Na wewe kwa nini kuchungulia chungulia matiti ya wanawake?
wengi huwa hawajitambui hao hata kama mtoto ana njaa nyonyesha kwa staha ziwa lote njee mhhhh afu linaachwa tu hapo hapo nje hata mtoto akidengua
Siyo lazima kuchungulia. huwa ni kwenye kadamnasi na hata mtoto alishamaliza kunyonya lakini mama wala hana habari, ndo kwanza anaendelea na story.
Nyie ndio mnaowapa watoto maziwa ya kopo...
Sasa hivyo vititi vyako waogopa nini watu wakiviona?

Sasa kwani shida ipo wapi?
Kwani titi ni sehemu za siri hata uweweseke hivyo?
Issue hapa ni double standard kwa maana wakati fulani ni kitu kisichotakiwa kuonekana hadharani na wakati mwingine sawa kuonekana.
hakuna dabo standadi,unajidabosha mwenyewe tu.
Sasa unataka mwanamke atoe.nyonyo hadharani wakati hanyonyeshi?
Au unataka mama anayenyonyesha afiche nyonyo lake wakati mwanae ana njaa?
Labda niulize, kazi kuu ya nyonyo ni ipi?