Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,054
- 288,520
Picha yakeHabari ndio kama mnavyoisoma , huyu alishakuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi , akahujumiwa kwenye kura zao za maoni huko ccm , ni mtu mzima hasa lakini leo naye kalamba uteuzi .
Hongera kwake .
DuhPicha yake
Tukisema kuwa ccm ni chaka la kulindana bado kuna watu hawaelewi.Habari ndio kama mnavyoisoma , huyu alishakuwa mbunge huko kusini kwa miaka isiyo na idadi , alishakuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi , akahujumiwa kwenye kura zao za maoni huko ccm , ni mtu mzima hasa lakini leo naye kalamba uteuzi .
Hongera kwake .
Keshazoea tena basi na utashangaa anajilinganisha na dada wa malaikaWashkaji wa mazeri hao.
Hivi unajua majukumu ya mwenyekiti wa bodi? Kwa kukusaidia ni mtu wa kuchair vikao vya bodi ambavyo vikiwa vingi ni 4 kwa mwaka. Sifa zake lazima awe na uzoefu wa uongozi. Hana mshahara bali sitting allowance tu. Acha kukurupukaHabari ndio kama mnavyoisoma , huyu alishakuwa mbunge huko kusini kwa miaka isiyo na idadi , alishakuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi , akahujumiwa kwenye kura zao za maoni huko ccm , ni mtu mzima hasa lakini leo naye kalamba uteuzi .
Hongera kwake .
Kumbe na wewe bure kabisa!!!! Hujui sifa na majukumu ya mwenyekiti wa Bodi. Nimekudharau kuanzia leo kama brazaj nilivyomdharau siku nyingiTukusema kuwa ccm ni chaka la kulindana bado kuna watu hawaelewi.
Kuna wadogo zetu wamemaliza vyuo kibao wanahangaika kutafuta angalau kupata line ya kuwaingizia mkate wao wa kila siku.
Hawapati na wengine wanalala na njaa kabisa lkn ccm kwao ni sherehe tu
Ukinidharau hainipunguzii wala kuniongezea kitu zaidi ya kuniweka huru zaidi.Kumbe na wewe bure kabisa!!!! Hujui sifa na majukumu ya mwenyekiti wa Bodi. Nimekudharau kuanzia leo kama brazaj nilivyomdharau siku nyingi
Inashangaza hujui sifa na majukumu ya mwenyekiti wa Bodi!!!! Unataka kijana aliyepata degree jana awe mwenyekiti wa Bodi! Poor you! Mnajifanya mnajua kila kitu, ovyo!!!! Kabla ya kuandika fanya tafakuri michadema mpo wapuuzi tuUkinidharau hainipunguzii wala kuniongezea kitu zaidi ya kuniweka huru zaidi.
Sina haja ya kuheshimiwa na watu mazuzu na wachumia tumbo kama wewe na tena walio amua kujitoa akili kama wewe kisa njaa kali.
Kwani mwenyekiti wa bodi ana hitaji nini zaidi ya kuwa na mvi ?Inashangaza hujui sifa na majukumu ya mwenyekiti wa Bodi!!!! Unataka kijana aliyepata degree jana awe mwenyekiti wa Bodi! Poor you! Mnajifanya mnajua kila kitu, ovyo!!!! Kabla ya kuandika fanya tafakuri michadema mpo wapuuzi tu
Hao wamesha kula sana keki ya taifa ingefaa sasa wakae pembeni wafaidi pensheni zao.Mwenyekiti board sio watendaji acha wasimamie mashirika wamalizie
kwahiyo wewe unataka kutuambia uzoefu wa uongozi unaambatana na uzee?Huyo anapeleka uzoefu gani Tipoer kwenye mambo ambayo kwa asilimia nyingi hayajui?Hivi unajua majukumu ya mwenyekiti wa bodi? Kwa kukusaidia ni mtu wa kuchair vikao vya bodi ambavyo vikiwa vingi ni 4 kwa mwaka. Sifa zake lazima awe na uzoefu wa uongozi. Hana mshahara bali sitting allowance tu. Acha kukurupuka
Dawa ya chawa ni dudu killerKuanzia January 2022 Membe atarudi kwenye system hapo sasa na hawaakina Silinde, Waitara , Gekuli waaendelee kupalilia uchawa ili wabaki la si hivyo wanaweza kuporwa nafasi zao
Tukisema kuwa ccm ni chaka la kulindana bado kuna watu hawaelewi.
Kuna wadogo zetu wamemaliza vyuo kibao wanahangaika kutafuta angalau kupata line ya kuwaingizia mkate wao wa kila siku.
Hawapati na wengine wanalala na njaa kabisa lkn ccm kwao ni sherehe tu
Inashangaza sana na hoja hapo ni kuwapa nafasi ya kujiingizia kipato.kwahiyo wewe unataka kutuambia uzoefu wa uongozi unaambatana na uzee?Huyo anapeleka uzoefu gani Tipoer kwenye mambo ambayo kwa asilimia nyingi hayajui?