katika mkutano wa wana ccm wanaogombe ubunge same magharibi leo,ilipofka zamu ya mathayo alizomewa akatoa kauli ifuatayo,HATA MSIPONICHAGUA WAKE ZENU WATANIPA KURA..Kulewa madaraka n shida...
Anadai hata asipochaguliwa atashinda. Nimeshindwa kabisa kumwelewa.
Ahadi zake ni zilezile za "mkinichagua nitawaletea maji"
Rushwa inadaiwa imekua kawaida kwake hasa maeneo ya milimani!
katika mkutano wa wana ccm wanaogombe ubunge same magharibi leo,ilipofka zamu ya mathayo alizomewa akatoa kauli ifuatayo,HATA MSIPONICHAGUA WAKE ZENU WATANIPA KURA..Kulewa madaraka n shida...
Jamani Same na Mwanga msituangushe. Hakuna kumchagua tena mbunge kupitia CCM. Wabunge wa hiki chama kwa Same na Mwanga hawafai. Tulidanganywa kuwa kuna mradi wa maji ikawa danganya toto. Sasa niwakati wa kufanya mabadiliko chagua chadema