Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 978
- 2,313
97Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
❌First profit 100 - 800 = 200
Second profit 1300 - 110 = 1190
Total profit 200+1190 = 1390.
Mbona, nilisha sahihisha hiyo?.Nilishemsha hapo kwenye hii statement "I bought it again for 1100". Nimetumia 110 badala ya 1100. Hivyo uko sawa, jibu ni 400.