3R = 30 umeitoa wapi, wakati kwenye mzani upande wa kulia Kuna 30 + three red balls?Siyo kweli hesabu hipo sahihi jibu ni 25 tena utakiwi kutumia hata pen...wewe hesabu ngumu unapata ila nyepesi zinakutatiza😁😁 ngoja niku eleweshe hapa ndiyo ulipo kwama kujua kuwa
3R=30 so R=10
Kwani hapo pichani wewe unaona mizani mingapi3R = 30 umeitoa wapi, wakati kwenye mzani upande wa kulia Kuna 30 + three red balls?
Aisee, we dada hapa tukichanganya damu, tunaweza tengeneza vi genius.
Mmoja.Kwani hapo pichani wewe unaona mizani mingapi
Unacheka, dunia ya sasa haihitaji vilaza.🥺😀😀😀😀👌🏿
Mizani ipo miwili huo mdogo ni mzani ume balance 3R na 30Mmoja.