Ok. Kumbe 5×(1+(1+1)) si sawa na 5(1+(1+1))?? I thought ukiondoa tu alama ya mabano baada ya zilizopo kwenye mabano automatically alama ya kuzidisha inakuwepo.
Yaani calculator zote ulimwengu zikosee na AI zote zikosee at same time? Na mimi genius nikosee ...unajua madhara ya computer kukosea hiyo hesabu kiinjinia?
Yaani calculator zote ulimwengu zikosee na AI zote zikosee at same time? Na mimi genius nikosee ...unajua madhara ya computer kukosea hiyo hesabu kiinjinia?
AI models kama chaGTP na Gemini large language model, zinaweza tengeneza codes na kufanya math reasoning lakini zina weakness za hapa na pale.
Ukitaka kutumia AI model ambazo zilitengenezwa kwaajili ya kufanya math bila ukakasi tumia mistral AI siyo chatGPT. nitakupa screenshot mbili hapa ya lile swali letu la 60÷5(1+(1+1))