Nimekuwekea video za YouTubeBrother, hizo AI models sisi tulianza ku train neural networks toka 2010 kwaajili ya kubreak chaptcha. Hizi LLM bado haziko vizuri kwenye hisabati, zinamakosa mengi sana. Jaribu kutumia tofauti tofauti kama chatGPT, Deep seek, Liama, Claude, 03-mini, Mistral na Gemini utaona zinatoa majibu totauti.
Hii ni calculator ya simu yangu umeona jibuBrother, hizo AI models sisi tulianza ku train neural networks toka 2010 kwaajili ya kubreak chaptcha. Hizi LLM bado haziko vizuri kwenye hisabati, zinamakosa mengi sana. Jaribu kutumia tofauti tofauti kama chatGPT, Deep seek, Liama, Claude, 03-mini, Mistral na Gemini utaona zinatoa majibu totauti.
Ni 25
Ukiangalia pattern vizuri utaona hizi namba za nje kwenye (-ve) diagonal, zina uwiano wa 6/7
30/35 = 6/7
12/14 =6/7
za ndani sqaure roots zake zina uwiano wa 6/7
(36/49) = 6/7
Tukija kwenye (+ve) diagonal zile za nje, uwiano wake ni 2/5
12/30 = 2/5
14/35 = 2/5
Hivyo tunaweza kuhitimisha kuwa square root za ndani zina uwiano wa 2/5
Let the unknown be x
square root of (4/x) = 2/5
4/x = 4/25
x = 25
Video za youtube kila mtu anaweza tengeneza kaka.Nimekuwekea video za YouTube
#include <stdio.h>
int main() {
// Define the variables
int a = 8;
int b = 2;
int c = 2 + 2; // This evaluates to 4
// Perform the calculation
int result = a / b * c; // This evaluates to 8 / 2 * 4
// Print the result
printf("The result of 8 ÷ 2(2 + 2) is: %d\n", result);
return 0;
}
Tumia akili kwa hiyo calculator aikuumbwa kufanya hiyo hesabu ya y÷z(g+g)=🙄☠ wewe ni mbumbumbu bali iliumbwa kufanya hesabu ya y÷z×(g+g)=🙄☠ tu...sasa toa sababu kwa nini calculator wasiweke aina hiyo yenu ya ufanyaji hesabu inamaana calculator zote zinamapungufu (makosa) bali wewe mmatumbi mbumbumbu ndiyo unajua sanaVideo za youtube kila mtu anaweza tengeneza kaka.
Ukiangalia kwenye application nyingi kama google calculator 8 ÷ 2(2+2) huwa inakupa jibu la 16 kwasababu zinatumia logic ya 8/2*(2+2) ambayo siyo sahihi, 2*(2+2) siyo sawa na 2(2+2), unapozungumzia presedence. Mfano hii C program hapa chini ita kupa 16. Ukitaka kutumia program iliyotengenezwa kwaajili ya hisabati tumia mathematica.
C:#include <stdio.h> int main() { // Define the variables int a = 8; int b = 2; int c = 2 + 2; // This evaluates to 4 // Perform the calculation int result = a / b * c; // This evaluates to 8 / 2 * 4 // Print the result printf("The result of 8 ÷ 2(2 + 2) is: %d\n", result); return 0; }
Ili fumbo naona mnatumia nguvu nyingi kuunda set nyingi zisizo na reasons jibu ni 2 tu na mkisema set zenu ni sahihi kwa nini hii set yangu isiwe sahihi au hii hesabu ina majibu mengi ya mifumo mbali mbali ya set ?
Ukiwana hoja tena ya kujadiliwa namna hii then unatumia maneno kama mbumbumbu unawakosea sana watu. Katika kuelimishana lazima lugha za staha zitumike, thats why we call you educated and the like.Tumia akili kwa hiyo calculator aikuumbwa kufanya hiyo hesabu ya y÷z(g+g)=🙄☠ wewe ni mbumbumbu bali iliumbwa kufanya hesabu ya y÷z×(g+g)=🙄☠ tu...sasa toa sababu kwa nini calculator wasiweke aina hiyo yenu ya ufanyaji hesabu inamaana calculator zote zinamapungufu (makosa) bali wewe mmatumbi mbumbumbu ndiyo unajua sana
Kama unasema hii z(g+g) siyo sawa na z×(g+g) wewe ni mbumbumbu kwa sababu ni SAWA SAWA kama kusinge kuwa na hayo mabano ingekuwa tofauti .
Ni sahihi maana umbumbumbu una vigezo vyake vikitimia lazima upewe jibu sahihi la umbumbumbu..nilisha toa fafanuzi na elimu nyingi sana ¼(2+2)=1÷4(2+2) chunguza maana ya hizi hesabu utajua kwanini hiyo 4 aina sifa ya kuzidisha na hizo 2 ndani ya mabanoUkiwana hoja tena ya kujadiliwa namna hii then unatumia maneno kama mbumbumbu unawakosea sana watu. Katika kuelimishana lazima lugha za staha zitumike, thats why we call you educated and the like.
Sema jamaa wa watu ni mpole tu hataki kuzozana.
Mimi nauliza tu a(b+c)
Kanuni zinasemaje hapa.
Kuhusu a(b+c) mnacho kosea hapo ni kitu kimoja tu hiyo njia mnayo tumia nyinyi inafanya kazi na hesabu zote isipokuwa panapo kuwa na alama ya gawanya nyuma ya hiyo (a) kwa sababu alama ya gawanya inabadili maana ya hiyo (a) kuwa sehemu mfano 1÷4(2+2)= hii hesabu maana yake ni ¼(2+2)=Ukiwana hoja tena ya kujadiliwa namna hii then unatumia maneno kama mbumbumbu unawakosea sana watu. Katika kuelimishana lazima lugha za staha zitumike, thats why we call you educated and the like.
Sema jamaa wa watu ni mpole tu hataki kuzozana.
Mimi nauliza tu a(b+c)
Kanuni zinasemaje hapa.
Huyu jamaa sijui ana matatizo gani, yaani he’s too harsh.Ukiwana hoja tena ya kujadiliwa namna hii then unatumia maneno kama mbumbumbu unawakosea sana watu. Katika kuelimishana lazima lugha za staha zitumike, thats why we call you educated and the like.
Sema jamaa wa watu ni mpole tu hataki kuzozana.
Mimi nauliza tu a(b+c)
Kanuni zinasemaje hapa.
Kama ni hivyo, kwa nini 4÷2(2-1) tusianze na 4÷2, then tuendelee na expression.?Kuhusu a(b+c) mnacho kosea hapo ni kitu kimoja tu hiyo njia mnayo tumia nyinyi inafanya kazi na hesabu zote isipokuwa panapo kuwa na alama ya gawanya nyuma ya hiyo (a) kwa sababu alama ya gawanya inabadili maana ya hiyo (a) kuwa sehemu mfano 1÷4(2+2)= hii hesabu maana yake ni ¼(2+2)=
Ila zikiwa hivi
1×4(2+2)
1+4(2+2)
1-4(2+2)
Njia mnayo tumia inakuwa sahihi
Mfano
1+4(2+2)=
1+4(4)=
1+(4×4)=
1+16=17 jibu sahihi unaona nimepata jibu sahihi kwa kufanya kama wewe unavyo sema ila kukiwa na gawanya hiyo 1 na 4 zinakuwa robo...tumieni akili
No way, hatuishi hivyo, let me tell you one thing, don't brag too much hata kama unaona unajua kuliko wengine.Ni sahihi maana umbumbumbu una vigezo vyake vikitimia lazima upewe jibu sahihi la umbumbumbu..nilisha toa fafanuzi na elimu nyingi sana ¼(2+2)=1÷4(2+2) chunguza maana ya hizi hesabu utajua kwanini hiyo 4 aina sifa ya kuzidisha na hizo 2 ndani ya mabano
Ngoja tufundishane namna nzuri ya ku-interact l, sababu nayo ni elimu na baadhi yetu hatuna.😅Huyu jamaa sijui ana matatizo gani, yaani he’s too harsh.
Mie nikishaona mtu ni mbishi halafu ubishi wake hauna maana huwa siwezi kubishana naye.
Napenda ustaarabu, napenda watu wastaarabu.
Kama katika maisha ya kawaida pia yuko hivyo basi watu wanaomzunguka kazi wanayo.
Nilimsoma tangu day 1
Good morning wastaarabu wenzangu!!!
💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐😁
Ni sahihi kabisa.Ngoja tufundishane namna nzuri ya ku-interact l, sababu nayo ni elimu na baadhi yetu hatuna.😅
14Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Asikupe shida, huyu jamaa yetu tunamjua, huwa anakorofishana na kila mtu hapa JF, iwe jukwaa la wakenya, international au siasa. Kote huko anaporomosha matusi, tena hapa amekuwa mstaarabu.Huyu jamaa sijui ana matatizo gani, yaani he’s too harsh.
Mie nikishaona mtu ni mbishi halafu ubishi wake hauna maana huwa siwezi kubishana naye.
Napenda ustaarabu, napenda watu wastaarabu.
Kama katika maisha ya kawaida pia yuko hivyo basi watu wanaomzunguka kazi wanayo.
Nilimsoma tangu day 1
Good morning wastaarabu wenzangu!!!
💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐😁
Duh!Asikupe shida, huyu jamaa yetu tunamjua, huwa anakorofishana na kila mtu hapa JF, iwe jukwaa la wakenya, international au siasa. Kote huko anaporomosha matusi, tena hapa amekuwa mstaarabu.
Scientists/mathematicians hawapo hivyo, kwanza sio waongeaji sana. Atakaa kwenye mfumo wa kistaarabu hana namna.Asikupe shida, huyu jamaa yetu tunamjua, huwa anakorofishana na kila mtu hapa JF, iwe jukwaa la wakenya, international au siasa. Kote huko anaporomosha matusi, tena hapa amekuwa mstaarabu.