ginyisi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2023
- 393
- 577
Na nnavoichukia hesabu apo unanikumbusha mwalimu wangu wa mathe qudadeeq zake...bila shaka maisha nnayoishi namzidi pakubwa sana mbwa yule
Na nnavoichukia hesabu apo unanikumbusha mwalimu wangu wa mathe qudadeeq zake...bila shaka maisha nnayoishi namzidi pakubwa sana mbwa yule
Today's new challengeView attachment 331274746 hesabu ya kitoto
30 chekechea
46 chekechea mathToday's new challengeView attachment 3312747
Fanya hii ya kikubwa dy/dx+2y = 3sin(x)46 chekechea math
GENIUS NIPO JIBU 9 😁😁😁 HESABU ZA CHEKECHEA UTOTO
Utoto jomba utoto utoto👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶tatizo kuandika hapa ni shida hiyo hesabu ina step kama 6 hiviFanya hii ya kikubwa dy/dx+2y = 3sin(x)
c
❌️
Hakuna ngumu kwangu labda zile za picha nilikuwa sioni vizuri ...wewe unasema kitonga wengi wameshindwa😁😁😁Mkipata kitonga mnazipa majina😂
Nipe heshima yangu yani wewe umeshindwa kutambua tu kuwa umekutana na genius majuzi kulitumwa uzi wa amplifier na electroni wakaja maprofesa nikawatoa out ...niliwaanyesha mzungu kakosea wapi ?Mkipata kitonga mnazipa majina😂
Utoto kivipi?Utoto jomba utoto utoto👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶👶tatizo kuandika hapa ni shida hiyo hesabu ina step kama 6 hivi