30Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Naogopa kusema Z ni 25 nitakosea nipigwe kama yule dalali ππ
Leta maujanja Chief
1Γ1=βοΈβοΈβοΈ
601 ππ
Namba ya chini amejumlisha na Square 11Β²=11+2=13Leta maujanja Chief
11 +Β²=13Do you mean;
121
1β¦.(2+1)
13
Sio?
Basi mie hiyo 1 ya mwanzo niliilia ugaliπYes...Ndiyo
π€π€Jibu: (B) 1