Math challenge

Math challenge

Hii hapa

Nenda ukurasa kuanzia no 10 hadi 12
Lazima ku-open brackets zote, naona mmebishana hapo ila naungana nae, ile ya mwisho bado ni bracket lazima ifunguliwe kwanza ndio ugawanye. Rules are rules.
 
Lazima ku-open brackets zote, naona mmebishana hapo ila naungana nae, ile ya mwisho bado ni bracket lazima ifunguliwe kwanza ndio ugawanye. Rules are rules.
Jamaa kakubali nadhani yeye ni mjuzi wa hesabu kuliko wewe alikubali mara moja endelea kusoma koment za mbele mabano yana tumika kwa equation ya ndani ya mabano tu baada ya kumalizika hakuna tena mambo ya mabano
 
Angalia hapo, huyo ni mtaalam kuliko mimi na wewe.
Alright, let’s solve this step by step:

Expression:

60 ÷ 5(1 + 1(1 + 1))

---

Step 1: Simplify the innermost parentheses

1 + 1 = 2

So now it becomes:

60 ÷ 5(1 + 1 × 2)

---

Step 2: Do the multiplication inside the parentheses

1 × 2 = 2

So now:

60 ÷ 5(1 + 2) = 60 ÷ 5(3)

---

Step 3: Multiply 5 × 3

5 × 3 = 15

Now it’s:

60 ÷ 15 = 4

---

✅ Final Answer: 4
 
5(3)=5×3
60÷5×3=36
12×3=36
 
Sawa mkuu,
Naona umemaliza kupeana challenge na mimi sasa unapambana na akili mnemba.
Kivipi mimi najua hesabu wala sikusoma secondary genius ...kama akili AI ndiyo imekupa jibu ilo basi imekosea kunamaswali mengi tu inakosea jibu ni moja tu 36
 
Kivipi mimi najua hesabu wala sikusoma secondary genius ...kama AI ndiyo imekuambia jibu ni 4 imekosea jibu hspo ni moja tu 36
Mambo ya sekondari yanaingiaje hapo mkuu. Basi tukubaliane kutokubaliana.
 
Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
  1. DSC_0989.JPG
    X+X+X=30...Qn(i)
  2. y+y+x=20....Qn(ii)
  3. Z+Z+x=13.....Qn(iii)
  4. X|2 +yz* Z|2=? Qn(iv)
3x=30
x=10.
2y=20-10
y=5
hivyo, x=10
y=5
z=4

kutoka , Qn.(iv)
X/2+ yz * Z/2
10/2 + 5*4 x 4/2
5+ 40=45

' . ' = 45
 
Back
Top Bottom