26Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Lol, mkuu angalia tena. 3x =24, X itakuwa ngapi hapo?Jibu umepata ila njia umekosea 😁
X ni 6 siyo 8
2x+x+x=24
Toa solution yako mkuu, kila mtu aonyeshe njia yake ili tujue nani kakosea, usiseme tu "umekosea"umekosa 😁
Wacha ubishi hizo nyanya ni mbili fungu la kwanza 4xLol, mkuu angalia tena. 3x =24, X itakuwa ngapi hapo?
Imebidi ni-zoom kabisa😅 sikuona, kwani ni nyanya au apple?Wacha ubishi hizo nyanya ni mbili fungu la kwanza 4x
Jibu 36 kuna mtaalamu mmojq jana naye alikosea na kuandika jibu kama lako nilipo muelewesha alikubali bila shida pitia comenti za nyuma nilimuonyesha kakosea vipiToa solution yako mkuu, kila mtu aonyeshe njia yake ili tujue nani kakosea, usiseme tu "umekosea"
Vyovyote iwe nyanya au apple na hizo ndizi fungu la chini zipo 5Imebidi ni-zoom kabisa😅 sikuona, kwani ni nyanya au apple?
Nitag hiyo comment nione.Jibu 36 kuna mtaalamu mmojq jana naye alikosea na kuandika jibu kama lako nilipo muelewesha alikubali bila shida pitia comenti za nyuma nilimuonyesha kakosea vipi
Kwenye fungu la ndizi ni assumptions tu, zinaweza kuwa tano au zikawa sita.Vyovyote iwe nyanya au apple na hizo ndizi fungu la chini zipo 5
12Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Nenda ukurasa kuanzia no 10 hadi 12Nitag hiyo comment nione.
19Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Ndizi ni 5 tu siyo 6Kwenye fungu la ndizi ni assumptions tu, zinaweza kuwa tano au zikawa sita.
96Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415