Math challenge

Jibu swali la pili.

Bata Ambaruty=20.
yai zege=4.
Ndizi=4.
20+4×4=96.🤸🤸🤸💪
Umenichekesha kinoma yaani #bata = ambaruty 😂

Mlinganyo wa 1: kila ambaruty mmoja = 20
Mlinganyo wa 2: mayai matatu = 3, yaani kila yai 1 = 1
Mlinganyo wa 3: ndizi sita = 6, yaani kila ndizi 1 = 1
Mlinganyo wa 4: ambaruty = 20, mayai manne = 4, ndizi nne = 4, zingatia alama ya kuzidisha kati ya mayai na ndizi
 
Umembwela na hili

60÷5(1+1(1+1))
60÷5(1+1(2))
60÷5(1+2)
60÷5(3)
60÷15
=4

MAGAZIJUTO
MABANO
GAWANYA
ZIDISHA
JUMLISHA
TOA
Siyo kweli wewe ndiyo umekosea jibu ni 36.

Umekosea kwenye magazijuto hapa
60÷5(3)=60÷5×3=36 unaanza kugawanya kabla ya kuzidisha ...hayo mabano siyo
 
Siyo kweli wewe ndiyo umekosea jibu ni 36.

Umekosea kwenye magazijuto hapa
60÷5(3)=60÷5×3=36 unaanza kugawanya kabla ya kuzidisha ...hayo mabano siyo
Hapana CHIEF, unaanza kwa kuyaondoa mabano; unazidisha kwanza ...
 
Hapana CHIEF, unaanza kwa kuyaondoa mabano; unazidisha kwanza ...
Umekosea ni kweli una anza kuondoa mabano ila ulichokosea ni kushindwa kujua mabano yamesha kwisha kwa ndani hiyo (3) imesha malizika mabano hapo ndipo ulipo kosea
Mfano (4)+2×3=hayo siyo mabano ya magazi juto...mabano ya magazijuto ndani kunakuwa na equation

Hiki 60÷5(3) na hiki 60÷(5×3) ni vitu viwili tofauti ...ingekuwa hivi 60÷(5×3) basi jibu lako lingekuwa sahihi na langu lingekuwa kosa hivyo umekosea .
 
Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
3x=30, x=10 so kila kiatu kimoja thamani yake ni 5

2y+10=20, y=5 so kila ndege thamani yake ni 5

2z+5=13, z=4, so kila bag moja thamani yake ni 2

Kwa hiyo: kiatu+(ndege+viatu 2+2bag)xbag ni sawa na:

5+(5+10+4)*2=5+19*2
5+38=43

Jibu: 43
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…