Mateso yote yalianzia hapa

Mateso yote yalianzia hapa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1412208092890.jpg
 
mkuu ni tunda la CHINI ndio maana limefichwa
 
jamani ilo tunda sio hilo liko kubaya ndo maana wametumia lugha ya picha
 
Matunda mengine Mungu aliyaumba matamu sana na unapolila utamu wake huwa utamu kwelikweli
huyo nyoka asingemdanganya Eva utamu huu sijui ungejulikana?lol!
 
Tunda la mti was kati ni fumbo lenye tafsiri nyingi
 
Laiti hao binadamu wa kwanza wangekuwa wachina pasingekuwepo mateso yoyote!Wangemla huyo nyoka na habari ingeishia hapo. Tungesoma tu kwenye vitabu:Nyoka alijaribu kumlaghai binadamu wa kwanza lakini binadamu kwa njaa alokuwa nayo akamfanya nyoka kitoweo!

Jf is not a joke, hata wachekeshaji wa kulipwa sijawahi sikia wakisema hivi. Umenipunguzia hasira nilizo nazo.
 
Back
Top Bottom