Ukute ndio washamvuruga kaghairi jamani, ibra87 njoo uendeleze bwana, unadhani usipochafuka utajifunzaje?
Teh teh ulijuajeeeeHahahaaaaaa wew ya house boy inakufaaa
oya ibra87 ukipata muda ishushe wengine ndo starehe zetu hz tukiwa idle, achana nao wajuaji hawakosekani hao popote duniani
Ni MARUFUKU KUKATA TAMAA..
SISI TUMEIKUBALI ALETE STORY HAPA TUFURAHIII.....
Hapana love, nlikuacha ulalee...Ungeniita ningelipua watu ha ha haaa na ibra ungekuta ameshaweka part 2.
Hadithi yako ni nzuri tena sana,ila kuna marekebisho madogo madogo mf. Ulipomuona mtoto wa miaka 18 kavaa sare ya shule ucku kwny mvua amejikunyata kiuhalisia huwez kumuhic ni CHANGUDOA,
Pia pale aliposimama ndio ungeelezea uzuri wake maana ndio umemuodma ila ulianza kuelezea uzuri wake kabla ht hujamfikia,
Pia huwez tu kuangua kilio baada ya kumuona mtu analia bila ht kujua anacholilia yan machoz yake na ww ulie na ilhali humjui, kiuhalisia haipo hiyo, the rest iko poa, nasubir next chapter.
USHAURI WANGU:
Sio kila mtu atakipenda unachokifanya, maneno yao ya kejeli yasikufanye uhamaki, kwan itakupotezea confidence na hata fikra ya kutunga itayumba, ww mtu akikusifia shukuru, akikuponda shukuru, timiza lengo lako ulilokusudia.
Safi sana ndugu...ngoja niku rep power kabisa..
Acha utaira ww gamba unaleta story za bangi hapa uongo mtupu lete vitu ambavyo ni creative usituletee story za CHUMBANI hapa
Acha uhuni dogo
Ivi ww gamba Huna kazi ya maana unaleta umbea huku jf
Ujinga mtupu alaf unajiona bonge la mjanja kumbe hewa tuu
Wajuajiiii....wakati ukiwaambia walete wao...hawana
Ni MARUFUKU KUKATA TAMAA..
SISI TUMEIKUBALI ALETE STORY HAPA TUFURAHIII.....
sasa na sisi tumesema watuache na newcomer wetu atupe mautaaaaaamu....
Kwanza ibra87 ni maarufu sana kavuma sana kwa speed ndio maana wana wivu...
Nyota zao zimezimwa ha ha haaaaaaaaa
Watu wana maudhi humu jf usipokuwa na subra unaweza pigana kwa maneno aisee.
Hadithi yako ni nzuri tena sana,ila kuna marekebisho madogo madogo mf. Ulipomuona mtoto wa miaka 18 kavaa sare ya shule ucku kwny mvua amejikunyata kiuhalisia huwez kumuhic ni CHANGUDOA,
Pia pale aliposimama ndio ungeelezea uzuri wake maana ndio umemuodma ila ulianza kuelezea uzuri wake kabla ht hujamfikia,
Pia huwez tu kuangua kilio baada ya kumuona mtu analia bila ht kujua anacholilia yan machoz yake na ww ulie na ilhali humjui, kiuhalisia haipo hiyo, the rest iko poa, nasubir next chapter.
USHAURI WANGU:
Sio kila mtu atakipenda unachokifanya, maneno yao ya kejeli yasikufanye uhamaki, kwan itakupotezea confidence na hata fikra ya kutunga itayumba, ww mtu akikusifia shukuru, akikuponda shukuru, timiza lengo lako ulilokusudia.
Mnajuana na mleta thread nje ya hapa?.
hahahaa jf unatakiwa kuwa jasiri asee. Mi nishatukanwa sana na story ni yangu mwnyewe.
Hizo zitakuwa stress za siasani si unaona hizo sijui gamba? Sasa shida za huko kazihamishia huku, hii mihemko balaa tupu.
Watu wanajifanya wajuaji sn humu utadhani kuna cha maana wao walishawahi kuleta.
Sio vizuri kwa kweli..sanyingine sio stress ila basi tu uwezo wa kufikiri unaishia hapo.
Huwa sielewi inakuwaje mtu anafungua thread anajiona kabisa hajaelewa lakini anaamua kuacha mashudu badala ya kupita kimya..sijui ndio kuongeza 'posts count' au ni nini.
Si anataka aonekane kacomnent kila post, vingine ukiona havikuhusu au huvielewi pita tu kasome vingine mbona vingi tu?
Mngekua na huruma na watoto wa mitaan wakiume iv basi dunia ingekua a better place to live,,,sema ndo ivo mnajifanya mna huruma sana when it comes to papuchii