Mateso yangu

Hii tabia ya kupondea sijui imeanzia wapi, niliwahi kuargue na mtu eti ananiambia anaweza kutumia rep. power yake kuniombea ban, nikamwambia omba tu nitafungua ID nyingine Pumbavu

Teh..
Nadhani kuna members naona sijui wna nini aisee...mtu katunga kitu chake anakuza kipaji...

Mtu from no where anakidis....
 
Vipi ushavurugwa nini?

Acha utaira ww gamba unaleta story za bangi hapa uongo mtupu lete vitu ambavyo ni creative usituletee story za CHUMBANI hapa
 
mimi sio mtu wa Kijiweni kama Wewe.. Ukiona Kitu hukipendi pita tu.. Mimi huwa Situmiagi wala Kununua Pete so wapelekee Wengine wanaotumia.. Naona inawasha

Acha uhuni dogo
 
hii ni story ya kweli ingawa Sikutumia jina la mwanamke lakini hata jina lako ntalitumia Mkuu

Ivi ww gamba Huna kazi ya maana unaleta umbea huku jf
 
usijali askari wangu nishakutana na watu hao mara nyingi tu kabla hata Sijafika hapa so waache waseme nadhani wataisoma na wataitafuta tu

Ujinga mtupu alaf unajiona bonge la mjanja kumbe hewa tuu
 
Teh..
Nadhani kuna members naona sijui wna nini aisee...mtu katunga kitu chake anakuza kipaji...

Mtu from no where anakidis....

sifa tu, kuna watu siku hizi hawaleti hadithi humu maana unaweza kujilaumu, watu kama kidikudi na yule mwenzake
 
Naona na ww unatikisa mzinga wa nyuki mchana tena jua linawaka

Usiwe na tabia ya kudis vitu anavyofanya mtu mwingine.
Sio busara,
Kama hujapenda unapita tuu, au unatoa constructive critics...

Bwana wax
 
Teh teh teh teh! Usipende hela bwana, umesahau kaka mito alitupatia nasaha?

Weeee mbona hiyo kauli nilifuta kitambo sista, asikudanganye mtu hela ndo kila kitu aisee
 
hii story yote mi nishaisoma. ibra87 ile part niliyokuwa nacheza mieleka na atoto naomba uirushe kama ilivyo
 
Last edited by a moderator:
ibra87 kitu kimetuliaaaaaaaaa Qudadadeeeekkkk!! Mbona hamkuniita???
Lete part two baba.
Heheheee watu mipovu inawatoka kisa wameona jina la atoto shwain walikuwa wanakulia mingo tuu hawana lolote.
Mimi na mume wangu sumbai tutanunua hata kitabu..
Leta mwendelezo wanyoooke
 
Last edited by a moderator:
sifa tu, kuna watu siku hizi hawaleti hadithi humu maana unaweza kujilaumu, watu kama kidikudi na yule mwenzake

Kweli kabisa... kuna watu wan a jiona hao ndio wenye uhalali na hili jukwaa...wakafie mbele
 
mkuu kuna Watu wanajiona Miungu watu Humu

Miungu watu ??? Wakagundue forum yaoo...yenyew hovyo tuu cha wameshindwa kujisitir hata kwa fake id h a ha haaaa...wivu tuu mkuu
 

Minyokolist...!
Ilizani ibra kaweka bandiko la kutafuta mchumba ikaja res ikakuta ibra87 walaaaa yupo kwingine ikabwabwaja ikakosa mwelekeo..
Mmu kuna nyuzi ngapi? Hawajaziona hadi waje huku? Mijitu mizima ovyooo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…