Mateso ya njuka

Form One is a single kidato which consist a lot of primary school materials.
 
Enzi za umitashumta nipo Primary
Wewe Tupo Sawa hata Mimi nilikuwa prmary arusha baada YA hapo nikaelekea Moshi tech..
Mambo ya njuka ya likuwepo Ila yalikuwa yamepungua Sana, kilichotuumiza sisi ni kuibiwa na kubadilishiwa sare. Mzinga ulivunjwa watu wanaiba hadi sukari, pesa ndio usiseme
 
Yeah, hiyo ya kuibiwa sana tu.....Mimi binafsi uniform zangu nilivaa kama wiki mbili tu za mwanzo...
 
Hujasoma Boarding wewe! Mnasoma hizi Shule za kushindia chips hizi hukutani na mateso ya njuka!
Kweli kabisa ndugu hawa watu wamesoma day school. Geita (GESECO) nikiwa form one nilikuwa nafua hadi nguo za maninja.
 
Kila mwezi wa tisa tar tisa na saa tisa usiku hahahahaha fom one bana.. Eti piga simu kwenu kupitia tundu la choo.
 
Hujasoma Boarding wewe! Mnasoma hizi Shule za kushindia chips hizi hukutani na mateso ya njuka!
Boarding nimesoma man.. na niseme ni kweli hivi vitu viko. Lakin sasa ukiona mtu yuko hivyo.. huko alikotoka hana mentallity ya kujiamini
 
Sijasoma day, vipi hakuna aliyetaka umpe rinda? Angetaka pia ungempa ili usiache shule? Unyonge wa kipumbavu huo.....Mimi nimesoma Tosamaganga boys hakuna aliyewahi kunionea kwa namna yoyote
Binadamu tunatofautiana sana malezi, mtu hajakutukana ushamuita kila jina baya pasipo hata sababu za maana. Anyway unahisi umeongeza nini kwa matusi hayo?
 
Binadamu tunatofautiana sana malezi, mtu hajakutukana ushamuita kila jina baya pasipo hata sababu za maana. Anyway unahisi umeongeza nini kwa matusi hayo?
Wapi nilipotukana na wewe mbona unaingilia yasiyokuhusu? Kusema unyonge huo ni upumbavu nazungumzia hiyo picha, na niliyemuuliza ameshajibu nimemalizana naye acha kuingilia yasiyokuhusu mkuu
 
Mimi nimesoma Tosa Boys na hakuna aliyefanya upuuzi huo..... But mkuu, kama na wewe ulikuwa ukifanyiwa hivi basi kwishney
wewe wa juzi sana, watu walikuwa wanakula henzirani ile hatari kuna shule kama Mara Sec, Musoma Tech, Milambo, zilikuwa ni balaa kwa kuwapa njuka kichapo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimepiga kitabu pale old moshi sec aka o'skul.. Nikiwa nimeanza form one 1996.. Kuna jamaa mmoja tall mbaya aliniamsha usiku wa manane.. That's time nipo cube moja na bro wangu wa pande za shinyanga anaitwa magweiga hahahaa.. Jamaa akaniambia acha kusinzia kibwege as if upo home.. Kuna wezi wa mapumbu hapa skul... Daah sikulala wiki...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…