Mapenzi sio umri bana Wolper kama kapenda yuko huru hayo ni maisha yake binafsi , mbona hamshangai mwanaume kuwa na mwanamke mdogo , sasa dunia ya sasa tupo free kifikra tusiishi kukalilishwa eti kupenda mtu anayekuzidi umri ni umalaya au tabia mbaya