Umejaribu kupata na hadithi ya huyo mtuhumiwa? My brother ask me about those yellow pigs (sorry to say this)huwafamu bongo movie vizuri they are pretenders and most hated creatures. . . nobody with his nerves can date them...! Namaanisha...
it was joke, mbona umenuna, kwa kweli wanawake huwa mnawakati mgumu sana hasa ukimpenda mtu maana unaweza fanya kila kitu for aman hata hizo picha halafu end of the day mahusiano yanakata dah hapo chacha ndipo moyo unapo pata wakati mgumu kwenu....