Mateso tunayopata wateja wa ALAF

Habari Wana jf nikilipia bati alaf mwezi mmoja uliopita nikataarifiwa bati zinatoka leo nipeleke gari ya kupakia
Nilipeleka gari yangu asubuhi ya leo ila mpaka saa hizi saa mbili usiku
Hii ni kero kwa kweli
Kwani lazima ununue ALaf

Hakuna taasisi nyingine zinazouza bati.

Ushamba huoo .

Taasisi ziko nyingi zenye huduma nzuri
Na CCs nzuri.

Watu wengine banaaa eti niko alaf toka asubuhi
Nyooooka wewe hauna kazi ya kufanyaa
 
Unasubiri bati mwezi mzima? kweli wewe una mahaba na Alaf, mimi niliweka order ya mabati kwenye kiwanda huku maeneo ya mbezi nikayapata kesho yake....nikalipa na kubeba mzigo.
 
Kwani lazima ununue ALaf

Hakuna taasisi nyingine zinazouza bati.

Ushamba huoo .

Taasisi ziko nyingi zenye huduma nzuri
Na CCs nzuri.

Watu wengine banaaa eti niko alaf toka asubuhi
Nyooooka wewe hauna kazi ya kufanyaa
Chief hakuna taasisi inyotengeneza bati bora kama hai ila tatizo ni huu ukiritimba uliopo kisa kuna ubia na watu wa serikali
 
Kuna viwanda bora uezeke makuti kuliko kununua bati kwao.
Hiki wapo vizuri, ni wale wanaofungua ofisi zao mbali na makampuni makubwa ambayo wanakuwa wamefanyia kazi, walikuwa na mchina kama mtaalamu wa kuendesha mtambo wa kuchakata mabati. Ni zaidi ya mwaka rangi haijapauka...
 
Ona sasa wanataka tusubiri mpaka kesho kisa network
 
Hiki wapo vizuri, ni wale wanaofungua ofisi zao mbali na makampuni makubwa ambayo wanakuwa wamefanyia kazi, walikuwa na mchina kama mtaalamu wa kuendesha mtambo wa kuchakata mabati. Ni zaidi ya mwaka rangi haijapauka...
Subiri baada ya miaka mitano utanunua bati mpya.
 
Habari Wana jf nikilipia bati alaf mwezi mmoja uliopita nikataarifiwa bati zinatoka leo nipeleke gari ya kupakia
Nilipeleka gari yangu asubuhi ya leo ila mpaka saa hizi saa mbili usiku
Hii ni kero kwa kweli
Pole sana ila ni kawaida kwa tuliopau Nyumba kwa bati za ALAF.
Mi nilisubiria 2 week na mzigo wa bati uliofika ulikuwa mchache sana nashukuru walinipigania Nikipata
Endelea kusubiria hakuna namna Mzigo ukifika mwingi utapewa.
Inawezekana ulikuwa kwenye list ya kupata lakini labda Mzigo wa gawio ulikuwa haujatimie. Siyo vizuri upate bundle 7 wakati wewe uliomba bundl 10.
 
  • Thanks
Reactions: ADK
Kua mvumilivu mm nlisubir wk 3 ila now mwak wa nne bati bado mpya kabsa ,mvua ikilipiga ndio utazid kulipenda ,ALAF ndio mpango mzima kwakweli
 
  • Thanks
Reactions: ADK
Bati za ALAF hata miezi sita nasubiri kuliko hao wengine maaana baada ya miaka 2 full mpauko, lazima utafute rangi ya kupaka paa au kutu inatoboa kabisaa. Mvumilivu hula mbivu Mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: ADK
Back
Top Bottom