Mateso tunayopata wateja wa ALAF

Matatizo ya hapo kiwandani ukitaka upate mzigo haraka tumia hao madeleva wahapo nje wazoefu wahapo wakati mwingine niutaratibu wawapakiaji ni mbovu
 
Habari Wana jf nikilipia bati alaf mwezi mmoja uliopita nikataarifiwa bati zinatoka leo nipeleke gari ya kupakia
Nilipeleka gari yangu asubuhi ya leo ila mpaka saa hizi saa mbili usiku
Hii ni kero kwa kweli
No Hurry in Africa,,
 
Unasubiri bati mwezi mzima? kweli wewe una mahaba na Alaf, mimi niliweka order ya mabati kwenye kiwanda huku maeneo ya mbezi nikayapata kesho yake....nikalipa na kubeba mzigo.
Yakianza kupauka na kutoboka usije kulialia humu
 
Habari Wana jf nikilipia bati alaf mwezi mmoja uliopita nikataarifiwa bati zinatoka leo nipeleke gari ya kupakia
Nilipeleka gari yangu asubuhi ya leo ila mpaka saa hizi saa mbili usiku
Hii ni kero kwa kweli
Aisee inabidi wakulipe fidia na usumbufu
 
Pole sana ila ni kawaida kwa tuliopau Nyumba kwa bati za ALAF.
Mi nilisubiria 2 week na mzigo wa bati uliofika ulikuwa mchache sana nashukuru walinipigania Nikipata
Endelea kusubiria hakuna namna Mzigo ukifika mwingi utapewa.
Inawezekana ulikuwa kwenye list ya kupata lakini labda Mzigo wa gawio ulikuwa haujatimie. Siyo vizuri upate bundle 7 wakati wewe uliomba bundl 10.
Mzigo ukifika? ALAF nao siku hizi ni store ya kutunza import material? Nilijua wanazalisha.
 
Pole sana ila ni kawaida kwa tuliopau Nyumba kwa bati za ALAF.
Mi nilisubiria 2 week na mzigo wa bati uliofika ulikuwa mchache sana nashukuru walinipigania Nikipata
Endelea kusubiria hakuna namna Mzigo ukifika mwingi utapewa.
Inawezekana ulikuwa kwenye list ya kupata lakini labda Mzigo wa gawio ulikuwa haujatimie. Siyo vizuri upate bundle 7 wakati wewe uliomba bundl 10.
Kwsngu gari ilishafika kwenye mizani network ikagoma
 
Halafu yanapanda Bei haraka Sana pale morogoro mwaka jana mwezi wa kumi yaliuzwa 28400 g30 ft10 mwaka huu mwezi wa sita yakafika 34000 g30ft10 mwezi huu alaf g30ft10 morogoro inauzwa 34000
 
Matatizo ya hapo kiwandani ukitaka upate mzigo haraka tumia hao madeleva wahapo nje wazoefu wahapo wakati mwingine niutaratibu wawapakiaji ni mbovu
Nimewatumia hao na nimeshalipia ziada na mzigo haujatoka
 
Habari WanaJF nililipia bati Alaf mwezi mmoja uliopita nikataarifiwa bati zinatoka leo nipeleke gari ya kupakia.

Nilipeleka gari yangu asubuhi ya leo ila mpaka saa hizi saa mbili usiku.

Hii ni kero kwa kweli
Sasa si uvumilie kama umechagua Alaf mwenyewe
 
Back
Top Bottom