Matengenzo ya simu/network unlock za modem na wireless router/ kwa njia ya mtandao

rogers_issaya

Member
May 16, 2018
55
29
Je una simu yako/modem/wireless router na kinatumia mtandao mmoja wa kampuni husika, mf airtel na ungependa kitumie mitandao mingine?
* Basi kama jibu ni ndio naweza ku unlock kifaa chako au kuprogram simu yako itumie mdao wowote ule wa hapa nchini au hata nje ya nchi.
*kinacho itajika ni wewe kua na na kompyuta+internet yako ili ni weze kufanya kazi popote ulipo kwa gharama nafuu kabisa.
-endapo una swali unaeza comment hapa au unaweza wasiliana nami kupitia 0743098141
Note: huduma yangu ni ya uhakika na umbali sio kikwako, huduma hii itakufikia popote ulipo,
Karibuni

Sent from my Infinix X608 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom