Matendo/Vitu gani vya kumfanyia mwanamke ili ajue kwamba haumpendi

Mambo ya kumfanyia mwanamke ili ajue kwamba humpendi
1.mnyime hela
2.mnyime hela
3.nasema tena mnyime hela
4.endelea kumnyima hela
5.wewe komaa kumnyima hela
Yeye mwenyewe tu ataona hapa hakuna love
 
Mkuu siyo kwamba simpendi Nampenda tena sana ila nataka nijicontrol unajua hawa viumbe wakijua kwamba unawapenda ni shida hakuna Rangi hutaacha ona Na ndio maana huduma zote nataka apewe lakini ajue kwamba hapendwi ila Siri niwe naijua mwenyewe kwamba nampenda Kwa kiasi gani

Zero IQ
Kaka umebugi kama mm mwanamke mwenzie na kwambia atakuacha, uvumilivu una mwisho wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu siyo kwamba simpendi Nampenda tena sana ila nataka nijicontrol unajua hawa viumbe wakijua kwamba unawapenda ni shida hakuna Rangi hutaacha ona Na ndio maana huduma zote nataka apewe lakini ajue kwamba hapendwi ila Siri niwe naijua mwenyewe kwamba nampenda Kwa kiasi gani

Zero IQ
Wewe ni mpu.mbavu, hutamudu atakapobadilika baada ya matendo yako.
 
Back
Top Bottom